Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Alafu siku mkishafunga ndoa unakuta sio bikra,kumbe masela walikuwa wanajimegea hahahaha!amka kaka upofu wa mapenz huo.
 
kweli kakufanya poyoyo.

Yaani wee unamla samaki nembe wake afu wee unaishia kuimba 'baba paroko'???

Utakuwa zeifu na keshagundua

huwa mafua hayatoki?? Si ulie kama Keagan alivyomlilia Talia akapewa mzigo?

Huyu Gf wangu 2napeanaga maromansi ila vidole utazua varangat C kidogo
Yeye anataka nimnyonye k-n-mb-e.
 
Nina Gf Wangu(anajitegemea) Ambaye Kiukwel Ninampenda Sana Na Ndio Maana Hata Aliponizuia Kuwa Nisimwage Wino Mpaka 2we Ktk Ndoa kwa Kuwa Yeye Ni Bikra Na Hakuna Anayeistahl Mpaka Yule Atakayemuoa(mimi),
Mzee Nikanywea Na Ku2lia

Ila Maisha Ya Mahusiano Haya Kiukwel Naish Kimashakamashaka Hasa Ukizangatia Nampenda Halafu Mwisho Wa Siku Nikapigwa Pilipili Ya Macho
Na Hyo Bikra Yake kama Mwana jf Fulan Hv.
Huyu Gf Mimi Ni Mwanaume Wa Pili Anadai Wa Kwanza Alianza Nae Mahusiano Toka Shule Na Wakadumu Kwa Miaka Miwil Kisha Wakaachana
Ingawa Anadai Nae Hawakuduu Nae.

Wajamen Naomba Msaada Namna Ya Kumjua Mwanamke Bikra... kwani Nimechoka Mwenzenu Na Hizi Propaganda Zake

Suala La Pili Ni Kwamba Huyu Gf Wangu Kila Wiki Anavaa Nguo Mpya Vlievile Hata Kichwan Yaan Ni Bandika Bandua Fashen Za Nywele After 2 Wiks
(najua Mshahara Wake Haukiz Mambo Yote Haya)

USHAUR WAJAMEN PLZ MWENZENU NIMEFUNGWA!!

Acha mambo hayo "tafuta mtu atestie atakwambia". Ila awe mwaminifu asije akanogewa.
 
Sa simuowe ili ujuwe yeye bikra, au sio bikra, na kama hutaki kuoa...Ya nini unajikera :biggrin1:
 
heshimu maamuzi yake kama kweli unampenda ...
Na mwanamke anaye olewa na mwanaume kama huyo mbona ana kazi, mana kisha anza kumshakia kabla ya ndoa je akisha owa....Afu huyo dogo nadhani anataka kuchungulia tu kama ana bikra au hana, sa sijui akisha onyeshwa bikra kabla ya ndoa na wengine hawatachungulia kama yeye.
 
Wewe unampenda huyo msichana au unapenda bikira?

Na kuhusu kubadili nguo hujui mwanamke matunzo? Na kama kuvaa nguo mpya tu kunakufanya usijiamini akikuzidi kipato je si ndo utamkimbia?

Tafakari, jichunguze wewe unataka nini toka kwa huyo dada bikira au binti?

nampenda binti Na Bikra Yake Inayonifanya Nisimwage Wino
Vilevile mienendo Yake Inanifanya Niogope Kupigwa Mpilipili Machoni!!!!
 
Oyo ni bora uondoke usije kupigwa mtoso baadae alaf uje tena humu jf uombe ushauri,
 
kweli kakufanya poyoyo.

Yaani wee unamla samaki nembe wake afu wee unaishia kuimba 'baba paroko'???

Utakuwa zeifu na keshagundua

huwa mafua hayatoki?? Si ulie kama Keagan alivyomlilia Talia akapewa mzigo?

ajhajhajhaaaa....!
We Kongoshooooo.....
 
vimeo wengi wanazuga na gia ya kuwa bikira
siku ukifungua maji utashangaa bomba ilivo kubwa
we mshika pembe ndugu wenzio wanajilia ati/
 
Wewe unampenda huyo msichana au unapenda bikira?

Na kuhusu kubadili nguo hujui mwanamke matunzo? Na kama kuvaa nguo mpya tu kunakufanya usijiamini akikuzidi kipato je si ndo utamkimbia?

Tafakari, jichunguze wewe unataka nini toka kwa huyo dada bikira au binti?

exactly.
 
yaani Roho Inamung'unyuka Mwenzenu
Hasa Ukizingatia Nampenda Sana Huyu Gf!

Hujui kuwa baadhi ya mabinti wana misururu ya wanaume? Kwa mfano, mmoja wa kugharamia usafiri / kununua gari, wa pili wa kulipia rent ya apartment, wa tatu ni ATM ya kutoa fedha za matumizi, wa nne ni kununua kiwanja, wa tano wa kugharamia ujenzi wa nyumba, wa sita wa matanuzi / out/ offers, wa saba wa malove dav; mwaweza kufika hata wanaume kumi mumeungwa trela!!! Kalagababo, wewe ni nani kati ya hao?? Usizuzuke na maneno 'niko bado bikira', vunja mtandao, jiondoe au umkomalie!!!
 
Mhh...i advice u kusahau kabisa kuhusu hiyo bikra. Mpende the lady as she is bana...forget abt it.
Otherwise hiyo hali itakusumbua koz na yeye ameshaona wekaness yako ni kwenye fact that she is a vrgin...na kama sio basi atakufanya mtumwa mpaka ile siku utakayokuja kujua.
I know its prestigious to end up with a virgin lakini ukiifanya ndo main concern yako, ndo ur basis of her love for her, the reason why u wouldnt make love to her...my friend, u r bound to be greatly heart broken...worse than humpty dumpty's fall....all the jf members wont b able to bring it back together again.
 
Hujui kuwa baadhi ya mabinti wana misururu ya wanaume? Kwa mfano, mmoja wa kugharamia usafiri / kununua gari, wa pili wa kulipia rent ya apartment, wa tatu ni ATM ya kutoa fedha za matumizi, wa nne ni kununua kiwanja, wa tano wa kugharamia ujenzi wa nyumba, wa tano wa matanuzi / out/ offers, wa tano wa malove dav. Kalagababo, wewe ni nani kati ya hao?? Vunja mtandao, jiondoe au umkomalie!!!

MAMA MDOGO
Naona Sasa Umeamua Kunikoroga Maibreini
Mi sijui Niko Wapi Kwenye Hvyo Vitengo Vyako!
 
Back
Top Bottom