Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Asee arifu unajua kuna bikra original, bikra za ndimu na bikra za Maimatha ungemuuliza kwanza yeye ana bikra gani.
Sikati kuwa hakuna wanawake bikra ila mpk mtu kujitegemea na vitu kama hivyo na maisha yetu ya bongo hapa. Duuu!!

1. Sema nae, usione soo. ( This is very hard, hasa akikuangalia usoni)
2. Mbake kistaarabu ( create a romantic environment and mood kisha tikisa nyavu, it has to be far away)
3. Ungetupatia kuhusika kwako ktk kuchangia ustawi wake nafkiri tungesema kwa kirefu kama unashika mapembe au ni kioo tuu
 
kinachokukuta kiliwah ntokea miaka ya nyuma nlikuwa na dem 2kakaa naye kw mwka mzma bla kudo nkiamin cku naomba gem itakuwa cmple 2 coz nko nae kw muda mref but cku nliomba mech kicngizio chakwnza kilikua oh nko kwnye period, nlipomwmbia nta2mia zana alidai et kiukwel hayuko tayar; bac kamchezo kakawa hakohako mpaka cku nlipombanansha sana akajdai et n bikra. Bac ghafla bin vu nkaondokaga kwnda kuskuli kichwan nkijua nna bonge la dem nyuma ambalo mpaka maskan wanamjua, unajua n nin nlikuta nliporud bongo bibie alikua kadakw ugon bro na maza ndo alikuwa kat ya wasuluhsh mwisho wa cku nliamua kulonga na dem akaishia kuniplease kw kundanganya all dat tym so jfnze kaka yacje yakakukuta yaliyonkuta
 
unaona Eeh!...na Ndio Maana Nami Nafanya Mchakato Ila Mimi Siwazi Kumkimbia Kwa Namna Yoyote Nitakayomkuta Nayo
Vp Wewe Uliendelea Nae?
niliendelea naye kwa kuwa nilikuwa nampenda sana na nilimjibu kwamba sikufuata bikira kwake.
 
kaka siku ya ndoa atajipiga sharbu huyo utaikuta iko sealed kabisa!af ukaamini kweli alikuwa bikra !
 
Pole ndugu ila kama ni bikira kuna namna ya kupima kama kule kwa mswati, mlaze chini mvue nguo mwingize vidole viwili ukeni kidole cha kati na kinachofuata kilicho kati ya kidole kirefu na kidole gumba, ukisha ingiza vitanue vikiwa ndani ya uke, vikitanuka ndani ya uke hamna bikra ndugu yangu. Ukitaka nitakutumia picha za waswazilendi wakiwapima mabinti zao ubikira ili ujifunze. Na pili mwenye bikira kila akikaribia period ana umwa sana.
 
kabla ya yote. Mstadi mienendo yake kwa kwa ukaribu sana. hebu divert namba zake kwako. kua naye karibu sana kwa muda wa wiki mbili tu lazima kama kuna kitu utagundua. LKN PIA YAWEZEKANA AKAWA HANA MTU MWINGINE KWANI WATU WA HIVYO WAPO KWELI KWENYE JAMII ZETU. HAYO MAHUSIANO YENU YANA MDA GANI.

KUMBUKA wadada siku hizi wamekua makini sana kutoa uchi kwa wanaume wanatarajia kuwaoa kwani wanajua tu ukisha lala naye dhamani yake inashukuka automatically, pia, kuwa wachumba siyo lazima muduuuuuuuuuuuu........MHUUUU
 
Dah... Tangu nianze kuskia stori za bikra ni longi sana. Na nikaja kuluzi baada ya kusaidiwa kuitoa na mpuuzi mmoja. hapo chukua chako mapema
 
aicee inanikumbusha kuna demu wangu wa1 ile naanza kumdate bila kuulizwa ananiambia ye ni bikra,kwa miaka 2 nilikuwa nae bila kumgusa nikiheshimu mawazo yake ya kusubiri muda atapokuwa tayari ku do,aicee siku ya siku nimechoka kusubiri nikiwa nae room nikalazimisha ku do nilichokikuta huwezi,alikuwa sio tu hana bikra alikuwa na ingine iliyochoka ile mbaya,kumuuliza ananiambia tulipoanza uhusiano alikuwa bikra ila kuna siku shetani alimpitia,iliniuma ile mbaya,hadi leo huwa nataka nipige ndani ya wiki tatu nikianza relation
 
nina gf wangu(anajitegemea) ambaye kiukwel ninampenda sana na ndio maana hata aliponizuia kuwa nisimwage wino mpaka 2we ktk ndoa kwa kuwa yeye ni bikra na hakuna anayeistahl mpaka yule atakayemuoa(mimi),
mzee nikanywea na ku2lia

ila maisha ya mahusiano haya kiukwel naish kimashakamashaka hasa ukizangatia nampenda halafu mwisho wa siku nikapigwa pilipili ya macho
na hyo bikra yake kama mwana jf fulan hv.
Huyu gf mimi ni mwanaume wa pili anadai wa kwanza alianza nae mahusiano toka shule na wakadumu kwa miaka miwil kisha wakaachana
ingawa anadai nae hawakuduu nae.

Wajamen naomba msaada namna ya kumjua mwanamke bikra... Kwani nimechoka mwenzenu na hizi propaganda zake

suala la pili ni kwamba huyu gf wangu kila wiki anavaa nguo mpya vlievile hata kichwan yaan ni bandika bandua fashen za nywele after 2 wiks
(najua mshahara wake haukiz mambo yote haya)

ushaur wajamen plz mwenzenu nimefungwa!!

kuna njia moja tu ya kujua kuwa mwanamke ni bikira nayo ni kubikiri!usipoitoa wewe bikra kwa njia hiyo usisumbue akili yako yanayobaki ni propaganda!nazo ni kama ,utasikia ooh baiskeli,mara sijui kijiti kilinichoma, mara nilianguka etc....
 
Ah kaka bongo ya leo bikra atoke wapi.Angalia usije ishia kuangalia uzuri wa kava la kitabu bila kuangalia yaliyomo,hata kama ni ubikra wa 0713 ulisha toka maana siku zingine hula vyakula vigumu na kutoa....................
:juggle:
 
kabla ya yote. Mstadi mienendo yake kwa kwa ukaribu sana. hebu divert namba zake kwako. kua naye karibu sana kwa muda wa wiki mbili tu lazima kama kuna kitu utagundua. LKN PIA YAWEZEKANA AKAWA HANA MTU MWINGINE KWANI WATU WA HIVYO WAPO KWELI KWENYE JAMII ZETU. HAYO MAHUSIANO YENU YANA MDA GANI.

KUMBUKA wadada siku hizi wamekua makini sana kutoa uchi kwa wanaume wanatarajia kuwaoa kwani wanajua tu ukisha lala naye dhamani yake inashukuka automatically, pia, kuwa wachumba siyo lazima muduuuuuuuuuuuu........MHUUUU

Hapo kwemye nyekundu, nadhani unataka kukosa vyote viwili (bikira na demu mwenyewe) endapo atakustukia umefanya hicho kitendo,
 
Huyo dada hajakaa kibikira-bikira, nipe kabila lake yawezekana anaogopa kuonyesha kovu la kukeketwa.
 
Sio wa kutosha ila tunajarib kumuokoa na kilio cha mtu mzima kwasababu siku hizi mambo yamekuwa hayatabiriki, kila mtu anajaribu ku-play safe.Ujue ingekuwa enzi za wazee wetu wala ndugu yangu hapa asingekuwa na mashaka baada ya kuambiwa usubirie ili aje kuikata mwenyew lakini siku hizi kwa kuwa mambo yamekuwa tofauti na watu wanaanza mapema sana haya mambo ya kikubwa (wengine wanaanza wakiwa darasa la kwanza) ndio maana amekuja hapa kuangalia ni namna gani anaweza kuwa kwenye safe side. Mi bado namshauri kutafuta namna ya kuhakikisha anakuwa na uhakika na hicho alichoambiwa.
Mi nafkiri unaweza kumwambia akuthibitishie kuwa yeye yuko hivyo baada ya wewe kujiridhisha kuwa ipo basi we vumilia tu haina shida.
 
Na pili mwenye bikira kila akikaribia period ana umwa sana.[/QUOTE]mmh hyo cio dalili ya kwel,haijathibitishwa hyo
 
Acha kudanganyika kaka. Huyo demu anakufanya wewe **** na kukuchuna kiana. Cha kufanya kuwa serious na uombe mchezo akikataa acha naye! La sivyo utaendelea kuwa mshika pembe na mwisho wa siku atakupiga chini ni bora akupe kitu roho inataka kama hataki mwache na ubikira wake feki.
U Mean Nami Nimfanye Wa KUZUGIA/MSHIKA MAPEMBE?
Nimekusoma Mkuu...shukran!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom