Biharamulo

Kifai

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
816
172
Hivi hii serikali imefumbia macho kabisa hili suala ya umeme biharamulo na chato? Watu wameshindwa kufanya shughuli zao za kimaendeleo kisa umeme, nakumbuka rais jakaya kikwetu aliahidi kutoa generator za kuzalisha umeme ila hadi sasa hajatia maguu yake toka alipopata urais, wahusika tunaomba muiangalie biharamulo na chato pls
 
baada ya kufariki phares k kabuye bmlo sasa imekuwa kama mtoto yatima .vipi kuhusu zile jenereta za pale kanzande hazifanyi kazi?
 
Hivi hii serikali imefumbia macho kabisa hili suala ya umeme biharamulo na chato? Watu wameshindwa kufanya shughuli zao za kimaendeleo kisa umeme, nakumbuka rais jakaya kikwetu aliahidi kutoa generator za kuzalisha umeme ila hadi sasa hajatia maguu yake toka alipopata urais, wahusika tunaomba muiangalie biharamulo na chato pls
wajinga ndio waliwao.sibado mlikua mmelala usingizi.sasa joto yajiwe ndio hiyo.maweeeeeeeee.akili ikae vizuri 2015 sawa wakora sana.
 
msisubiri ahadi za serikali.
kama mjuavyo ni nyingi hazijatimizwa.

Changeni fedha mnunue genereta yenu wenyewe
amasivyo mtakaa gizani mpaka kieleweke.
 
huyo mbunge wa cdm alipatikanaje mkuu.utadhani sio mpinzani dk slaa toeni huyo mtu pale bimlo
 
...mkuu umenikumbusha mbali. Enzi za biseco, pale karibia na katoke seminari, kuna njia panda ya kwenda Chato.
 
tatizo la bimlo ni wafanya biashara .masankala.yusuph.deus mzuri na omar.ndio wana nguvu wamuweke nani kulinda biashara zao tu .huku mji ukibaki maskini
 
deusi mzuri yupo na matajiri wenzake wao hawajui hata kama kuna tatizo la umeme,
 
Hivi hii serikali imefumbia macho kabisa hili suala ya umeme biharamulo na chato? Watu wameshindwa kufanya shughuli zao za kimaendeleo kisa umeme, nakumbuka rais jakaya kikwetu aliahidi kutoa generator za kuzalisha umeme ila hadi sasa hajatia maguu yake toka alipopata urais, wahusika tunaomba muiangalie biharamulo na chato pls

Hivi chato si ndo kwa mzee wa rais ongeza safari za nje a.k.a mze wa mpige mbizi,acheni kulalamika chukueni hatua as a public,rais jk ahadi zake hazitekelezeki.
 
Back
Top Bottom