Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

hivi kumbe watu hawapendi hii kitu eeh.......
mbona siwaoni......?
haya Keita ndo keshachapa mwendo.......
tunasubiri wa pili.......
 
ila ukisoma htread za kwenye website ya BBA unaona jinsi gani majirani zake wanigeria walivyokuwa wamempania baada ya wao pia kugundua alimpendekeza goldie wiki iliyopita atoke,ila nilijipa moyo kwa kuwa country votes ndizo zinaamua!
 
jamani lady may ana bahati!kila siku anapendekezwa kutoka,africa inamuokoa!hii ni bahati ya pekee
 
jamani lady may ana bahati!kila siku anapendekezwa kutoka,africa inamuokoa!hii ni bahati ya pekee

na alivoselfish kwa wenzake,lol hmm huwa najiimagine ningecop na nani,if i was there, naishia kwa Keagan,Talia,..wat na kyle labda,ata ka janete but kajinga kakilewa,ila prezo o ladymay mhh hawasomek
 
na alivoselfish kwa wenzake,lol hmm huwa najiimagine ningecop na nani,if i was there, naishia kwa Keagan,Talia,..wat na kyle labda,ata ka janete but kajinga kakilewa,ila prezo o ladymay mhh hawasomek

ni kweli usemayo,yaani najiuliza inakuwaje na uselfish wake wote anapeta!nawakubali keagan,talia na wati ila kyle simsomi.
 
andishile dunia hii imejaa watu wengi maselfish so lazima wampende..wachache wasio na tabia kama zake ndo wanaoelewa. Yan dah katika watu nisiowasoma lady may wa kwanza! Ukija kyle ypo makini sana na ni mjanja
 
7692336292_f1b7db3003_b.jpg

https://www.jamiiforums.com/kenyan-...o-ya-bba-prezzo-katinga-fainali-new-post.html
 
Its the legend Keagan baaba. Since Keagan upgraded to upville, Prezzo saw his biggest competition in the game.

Keagan, Keagan, Keagan, Keagan.
 
Back
Top Bottom