Bifu la prezzo na diamond, siri imefichuka

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,383
Diamond aliwafuma live wema na prezoo wakivunja amri ya sita, apo apo diamond akaamua kumtema wema..
 
Prezzo si tuliambiwa ana kibamia?
Hivi aliweza kweli kumkuna Wema akakunika?
 
Warumi sasa naamini upo kikazi ya kumchafua mtu,wewe wewe ulete exclusivity ya kwa mganga kafumwa,mara kwa prezo alifumwa*??!!!
 
warumi si bure kuna jambo, hizi exclusive unatoa wapi hasa. mimi bado hujaniconvince labda wengine.
 
halafu hadithi ikaishia hapo ama bado yaendelea?

1560757_507484729371506_355178767_a.jpg
 
Back
Top Bottom