Aliyepora Kofia aliandaliwa na Diamond Mwenyewe

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,349
4,807
Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!".

Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video utamuona anapoongea na kulalamika alionekana kumuangalia mchukuwa video kwa kuibiaibia halafu anafoka na kumuelekeza Onesmo kuhakikisha anarudi na kofia ile.

Japo amefanikiwa na ime trend sana.

Najipongeza kwa kuwa nipo katika kundi dogo sana la watu makini wasiodanganyika kirahisi.
 
Fasta unapigiwa hesabu yake, eeehr Ni 38$ eehr Ni sawa na 5,800 ksh Mara eehr Ni sawa na 98,000 tsh (kwa pesa ya madafu).
Mladi tu kuwaweka watu kwenye mijadala.

Hayaa, Maisha yaendelee...
 
Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!". Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video utamuona anapoongea na kulalamika alionekana kumuangalia mchukuwa video kwa kuibiaibia halafu anafoka na kumuelekeza Onesmo kuhakikisha anarudi na kofia ile.

Japo amefanikiwa na ime trend sana.

Najipongeza kwa kuwa nipo katika kundi dogo sana la watu makini wasiodanganyika kirahisi.
Uzuri tulikua bize na simba na Yanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom