JosM
JF-Expert Member
- Oct 11, 2008
- 679
- 19
Ile group ya BIDII, iliokuwa inakuja kwa kasi ya kimbunga imepingwa chini rasmi jana.Imefungwa kutokana na habari kuwa inasambaza SPAM.ukweli ni kwamba kuna watu ambao waliona BIDII kuwa ni tishio kwa uongozi wao na matendo yao hivyo wameandika barua kwa google na kudai inasambaza SPAM.
Kuna habari nyingine pia zina sema kuwa JF. ikombio kupingwa chini kabla ya mwezi wa 8 mwaka huu.hii ni kwa site zote zinazo zungumzia maswala ya serikali na siasa kwa ujumla zina takiwa zi fungwe kabla ya uchaguzi mwakani. Kwani zimeonekana kuwa tishio.hakika hawa watu hawata tuweza,tuko sambamba nao.Kwa nini wasifungie website za ngono wanakuja kufungia site ambazo zina elimisha jamii kuondokana na ujinga n'k.

Last edited: