BIDII Google Group yafungwa

Asant josm. Bandika hii barua hapa. Ila ieweleke kuwa JF is incognito, omnipotent, alpha and omega. Hawawezi kuufunga JF bila kutuambia kosa letu!!! Hatutukani mtu hapa. Mambo yote ya kikubwa yapo private, anayetaka anaingia at his/her own choice/risk. JF is a place of respect!!! Ile bughuda ya kipindi kile wasilete tena. Na wajue kuwa the founder is not the members, these two sides are independently so every side will be treated independently. Kana kuna faulu yoyote wamtafute mhusika wa nickname hiyo ndiyo ashughulikiwe and not JF entirely. I mean the Founder is not nick name Maane, you, she, he, we and they. Kwanza inabidi jamii ijivunie kwa kuwa na mtandao elimishi kama huu. Unafungua jamii na walio madarakani macho yao yenye ukungu!!!
 
Unamaanisha nini?

Unajua maana ya Google Group mkuu? Nasita kuendelea kuandika!

Ngoja ni kusaidie kumuelimisha huyu mdau.Google ndio wameliki wa hizo group au blog.kwa hiyo wewe kama ni mmiliki wa blog/group ni kwamba upo chini ya google,hivyo ukienda kinyume na sheria zao wana uwezo wa kukufungia na mambo mengine kama hayo.JF sio mali ya Google hivyo Google hawawezi kuifungia JF,labda mmiliki waJF mwenye au HOST wake,pia serikali inaweza kama inavyo kusudia kwa sasa.
 
Unamaanisha nini?

Unajua maana ya Google Group mkuu? Nasita kuendelea kuandika!

Mkuu Invisible I salute you. Wengine hatuna utaalam wa haya mambo ya site. Usichoke kutuelimisha, especially, Google Group stands for ...... and how it works!!!!!!!
 
Lakini mkubwa hujatutoa wasiwasi sisi addicts wa JF kama na huyu mkombozi wa wanyonge(JF) watamnyofoa je kuna ukweli na HABARI hii? je mtachukua hatua gani? kumbuka mchango wangu unakuja ....mkono mtupu haulambwi.

Mchango usisite kutoa.

Kukutoa wasiwasi, JF iko registered kama kampuni Tanzania na Marekani. Kuna procedures za kufuata, tusingekubaliwa kusajiliwa kama ni hivyo.

Naeleweka mkubwa?

Kuna tofauti kubwa ya Blog na Forum. Kubwa I may say! Blogs chache zinazokuruhusu wewe msomaji hata ukijisajili kuanzisha mjadala hivihivi bila kuwa moderated, tofauti kabisa na JF. Unaanzisha mjadala, watu wanachangia, penye makosa panarekebishwa haraka.

Zaidi, JF yenyewe inaweza kuhost UNLIMITED blogs (namaanisha wanao-blog kwenye blogspot au google groups wanaweza kuanzisha ndani ya JF bila kubughudhiwa).

Imagine, servers 3 (from yesterday) zikiwa za ukubwa wa 10TB, no blog ngapi zitaweza kuwa ndani yake? JF inakupa mwanachama kuwa na album yako online, JF inakupa access ya kuwa na personal web (ukitaka) ni simply unasema tunakuanzishia sub-domain.

Mfano hata Michuzi, akitaka tunaanzisha michuzi.jamiiforums.com na anakuwa ana access ya mambo mengi huku akiweza kupata data zake zote saa yoyote akiitaka.

Kuna mtu ananiambia ati JF iko hosted na Google... Hapana! Hatupo Google hata kidogo!

Kuna groups kidogo za JF, ziangalie hapa: https://www.jamiiforums.com/groups/
 
hebu tueleze unachojua basi...

lol..naona upo down on your knees... :D , kuuliza si ujinga ati!

Wazee mnavyomspot UM, siwawezi.

Ngoja ni kusaidie kumuelimisha huyu mdau.Google ndio wameliki wa hizo group au blog.kwa hiyo wewe kama ni mmiliki wa blog/group ni kwamba upo chini ya google,hivyo ukienda kinyume na sheria zao wana uwezo wa kukufungia na mambo mengine kama hayo.JF sio mali ya Google hivyo Google hawawezi kuifungia JF,labda mmiliki waJF mwenye au HOST wake,pia serikali inaweza kama inavyo kusudia kwa sasa.

Mheshimiwa kaeleza, mengine yamekwenda private.
 
Josm,

Umedanganya kuhusiana na JF. Naomba usifanye hivyo tena! China na JF wapi na wapi?

Tuna website 7 China ambazo zime-link JF na tena ni kwa ajili ya vitu ambavyo vinaelimisha watu wao.

I stand to be corrected!

Mkuu usiyeoonekana hiyo typo tu kama ila ya barua ya Fungamtama kwa Kubenea. Hapo Josm alikuwa anataka kusema kuwa inataka kupigwa CHINI kabla ya mwezi wa 8 na sio kupingwa CHINA. Natumai sasa umemuelewa.
 
Uwiano naona unakosa balansi sasa

Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaa, nakosa balance kwani nimezua uongo? Kwani kuuliza ni ujinga? Huu ni ustaarabu wangu na utaratibu wangu niliojiwekea, silichukulii jambo lolote kwa uwepesi.

Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa. Ndio maana ya Uwiano Maalum, nothing less or more. Chemically, physivally and biologically balanced!
 
Last edited by a moderator:
Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaa, nakosa balance kwa nimezua uongo? Kwani kuuliza ni ujinga? Huu ni ustaarabu wangu na utaratibu wangu niliojiwekea, silichukulii jambo lolote kwa uwepesi.

Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa. Ndio maana ya Uwiano Maalum, nothing less or more. Chemically, physivally and biologically balanced!
swali moja majibu mia.
enewei kuuliza si ujinga ila aina nyingine ya uulizaji inachochea huo ujinga (sijakuita mjinga lakini)
 
swali moja majibu mia.
enewei kuuliza si ujinga ila aina nyingine ya uulizaji inachochea huo ujinga (sijakuita mjinga lakini)

Huna tofauti na Kikwete, aliyesema hataki kuwaita watu wajinga, kwa kusema hivyo tayari alishawaita wajinga/wapumbavu.

Nashukuru kwa kuniita mjinga, imenipa hamasa ya kutaka kujua mambo mengi, najua siwezi kujua kila kitu kama wewe mwerevu.
 
Hiyo bidii group ilikua inafanya nini kwani? Si wafungue nyingine tu?? Sioni tatizo kubwa.
 
Mchango usisite kutoa.

Kukutoa wasiwasi, JF iko registered kama kampuni Tanzania na Marekani. Kuna procedures za kufuata, tusingekubaliwa kusajiliwa kama ni hivyo.

Naeleweka mkubwa?

Kuna tofauti kubwa ya Blog na Forum. Kubwa I may say! Blogs chache zinazokuruhusu wewe msomaji hata ukijisajili kuanzisha mjadala hivihivi bila kuwa moderated, tofauti kabisa na JF. Unaanzisha mjadala, watu wanachangia, penye makosa panarekebishwa haraka.

Zaidi, JF yenyewe inaweza kuhost UNLIMITED blogs (namaanisha wanao-blog kwenye blogspot au google groups wanaweza kuanzisha ndani ya JF bila kubughudhiwa).

Imagine, servers 3 (from yesterday) zikiwa za ukubwa wa 10TB, no blog ngapi zitaweza kuwa ndani yake? JF inakupa mwanachama kuwa na album yako online, JF inakupa access ya kuwa na personal web (ukitaka) ni simply unasema tunakuanzishia sub-domain.

Mfano hata Michuzi, akitaka tunaanzisha michuzi.jamiiforums.com na anakuwa ana access ya mambo mengi huku akiweza kupata data zake zote saa yoyote akiitaka.

Kuna mtu ananiambia ati JF iko hosted na Google... Hapana! Hatupo Google hata kidogo!

Kuna groups kidogo za JF, ziangalie hapa: https://www.jamiiforums.com/groups/https://www.jamiiforums.com/groups/

Nimekupata mkuu. Hasa nimefurahi kwa tuko registered. Kwa mantiki hii hata kama ni kufutwa ni lazima processes zote zitumike, ambazo kisheria is a long process, and not out of the blues. Kazi kubwa sasa ni kupigania miswada ya Freedom of Press na sheria zenye kulinda uhuru wa habari with due respect. Thanks so much for your dedication to JF. I love it
 
Huna tofauti na Kikwete, aliyesema hataki kuwaita watu wajinga, kwa kusema hivyo tayari alishawaita wajinga/wapumbavu.

Nashukuru kwa kuniita mjinga, imenipa hamasa ya kutaka kujua mambo mengi, najua siwezi kujua kila kitu kama wewe mwerevu.

Tehe tehe umenikumbusha nukuu hii "to generalize is to be an idiot" - there go another generalizing idiot!
 
Companero, sijaelewa unamaanisha nini kwenye quote hapo juu.

Nilikuwa najaribu kuitafsiri ile nukuu ieleweke vizuri. Mtu akisema "to generalize is to be an idiot" ina maana kuwa na yeye ni "idiot" maana amegeneralize kuwa watu wanaogeneralize ni ma-"idiot" ikiwa ni pamoja na yeye. Sasa ile hoja yako ya mwanzo kuhusu "ujinga" ilinukumbusha hoja ya hii nukuu. Natumai umeelewa sasa.
 
Kuna habari nyingine pia zina sema kuwa JF. ikombio kupingwa chini kabla ya mwezi wa 8 mwaka huu.hii ni kwa site zote zinazo zungumzia maswala ya serikali na siasa kwa ujumla zina takiwa zi fungwe kabla ya uchaguzi mwakani. Kwani zimeonekana kuwa tishio.hakika hawa watu hawata tuweza,tuko sambamba nao.Kwa nini wasifungie website za ngono wanakuja kufungia site ambazo zina elimisha jamii kuondokana na ujinga n'k.

Mkuu ebu weka hilo bandiko toka huko juu kuhusu taarifa uliyotoa ya JF.
 
Jamani wadau baada ya kupata maelezo flani hivi kutoka kwa mdau mmoja wa ukweli nimegundua BIDII iliyoanzishwa na dogo wetu wa JF ilikua ni group moja wapo ndani ya Google.

Kwa ufupi tu kama alivyoeleza ndugu yetu Invisible JF ni web inayojitegemea haiombi host kwa mtu kama ilivyo bogocelebrity au ile ya jamaa wetu wa iringa Majid mjengwa.

So msiogope kitu endeleeni tu kuposti yale mnayodhani ni ya kweli na mna uhakika nayo
 
Naona Bw.SHY bado unaendelea kukwiba articles na machapisho ya watu na kuyageuza ya kwako. Naona umeinyakua post ya Game Theory hapa kama ilivyo na kuipeleka kule 'kwako' kama ilivyo neno kwa neno..ila mwisho unajiweka mwenyewe..eti

Yona Fares Maro
I.T. Specialist and Digital Security Consultant

lol..
 
Back
Top Bottom