BIDII Google Group yafungwa

JosM

JF-Expert Member
Oct 11, 2008
679
17
Ile group ya BIDII, iliokuwa inakuja kwa kasi ya kimbunga imepingwa chini rasmi jana.Imefungwa kutokana na habari kuwa inasambaza SPAM.ukweli ni kwamba kuna watu ambao waliona BIDII kuwa ni tishio kwa uongozi wao na matendo yao hivyo wameandika barua kwa google na kudai inasambaza SPAM.

Kuna habari nyingine pia zina sema kuwa JF. ikombio kupingwa chini kabla ya mwezi wa 8 mwaka huu.hii ni kwa site zote zinazo zungumzia maswala ya serikali na siasa kwa ujumla zina takiwa zi fungwe kabla ya uchaguzi mwakani. Kwani zimeonekana kuwa tishio.hakika hawa watu hawata tuweza,tuko sambamba nao.Kwa nini wasifungie website za ngono wanakuja kufungia site ambazo zina elimisha jamii kuondokana na ujinga n'k.
 
Last edited:
JF will live forever!!! Huu ni mtandao wa uhuru wa habari. Hatutukani wala kuleta mapicha macahfu hapa. Tunachofanya JF ni kuwa kama kioo cha jamii cha kuelimsha, kurekebisha, kupongeza, burudani, etc. Sasa huyo anayeiogopa JF kama anataka kuwa kiongozi wa nchi au jimbo ataweza kweli???

Ninachoweza kuona ni mafisadi kuhonga ili JF ifutwe, na hii ingewezekana kama Google owner angekuwa maskini au mtu asiyeheshimu mikataba yake ya kazi. Naamini Google owner ni respectable na hawezi kubali kupokea hongo za mafisadi!!!

Josm unaweza kuthibitisha habari hizi au ni tetesi??? Tunaomba utoe hizo habari nyingine kuhusu kufungiwa JF by August!!!!! Asante.
 
J

Nio tetesi.Ni habari ya ukweli mimi nipo kwenye kitengo ya mawalisiano.tumeandikiwa barua toka kwa wakuu wanchi wakitaka baadhi ya site zi fungiwe mara moja,na katika site zilizo orodhezeshwa JF ni moja wapo ya hizo site ambazo zinatakiwa zifungwe.nitaileta hiyo barua hapa mda sio mrefu.
 
kwa hiyo mna imani thabiti kwamba mtaifunga JF si ndiyo??
acha kusambaza hofu. Nina imani kweli itashinda na kweli inajilinda yenyewe mpaka mwisho.

kuhusu BIDII hawakuwa na lolote zaidi ya kujaza inbox za watu maspam yao. I was victim once mpaka nikapata utaalam hapa JF how to control spam za aina ile (sasa mthubutu kuifungua JF ole wenu).

Inaonesha una hasira kwa nini BIDII imefungwa. pole sana
 
Jamaa kaleta taarifa, anasema ana barua na ataiweka hapa.

Hilo sio kosa, kuiweka hiyo barua hapa kutasaidia kuionyesha serikali kwamba JF ni omnipotent, JF sio Mac, Halisi, Invisible wala Enigma.

Pia itawadhihirishia kwamba mbinu zao za kunyamazisha wananchi zimejulikana hivyo wasitishe zoezi au plan zao..

Sijaona kama Josm anatishia bali anataka kuleta dataz.
 
ndugu sio nia yangu kuwapa watu hofu,na wala mimi siungi mkono dhana ya kuzifungia hizi site kabisa naomba unielewe hivyo.
 
Acheni mambo ya kipumbavu! Google hawawezi kumfungia mtu kwa sababu ya kuandikiwa barua kuwa wanatuma SPAM, huo ni uzushi wa hali ya juu.

JF itafungiwa na nani? na kivipi? Kuifungia JF ni next to impossible unless wanaoiendesha JF waamue kuifunga. Kwanza kabisa hosts wa marekani hawawezi kufunga site bila violation fulani ya TOS, law suits wanazijua vizuri sana wamarekani, na hata wakiifunga ni kazi ndogo tu ya kuihamishia kwa Host mwengine, ka hiyo msiwe na wasiwasi kabisaaaa kuhusu JF kufungiwa.
 
Hii Bidii ni Google Group ambayo aliianzisha Yona Maro.

Nimepata kuongea naye na akanielezea alichokumbana nacho.

Kuna possibilities mbili au tatu:

1. Kulikuwa na picha CHAFU kitu ambacho kimepelekea Google kufunga kwani kuna sheria ambazo zinatakiwa kufuatwa.

2. Kulikuwa na nyaraka (contents) ambazo zilichukuliwa sehemu na mhusika (mwendeshaji) wa wavuti husika akaarifiwa na hakuziondoa au kuziwekea source hivyo Google wakaamua kupiga chini.

3. Kuna mwenye group kama hiyohiyo (labda) au inayoelekeana nayo ambaye atakuwa kalalamika Google na kuwambia kuna mtu anajaribu kutumia jina ambalo linamaanisha kitu kilekile na Google wakathibitisha hivyo kuchukua hatua bila kumwarifu mhusika.

Hayo juu ndiyo yanawezekana kuwa sababu za msingi kufanyika jambo hilo.

Google Groups kama zilivyo blogspots zote ni mali ya Google na wanaweza kufanya wapendavyo! Inatakiwa upitie sheria zao kabla hujaanza kuwalalamikia!

Ahsante
 
Acheni mambo ya kipumbavu! Google hawawezi kumfungia mtu kwa sababu ya kuandikiwa barua kuwa wanatuma SPAM, huo ni uzushi wa hali ya juu.

JF itafungiwa na nani? na kivipi? Kuifungia JF ni next to impossible unless wanaoiendesha JF waamue kuifunga. Kwanza kabisa hosts wa marekani hawawezi kufunga site bila violation fulani ya TOS, law suits wanazijua vizuri sana wamarekani, na hata wakiifunga ni kazi ndogo tu ya kuihamishia kwa Host mwengine, ka hiyo msiwe na wasiwasi kabisaaaa kuhusu JF kufungiwa.
Halafu naona wameiita Mtandao... Wamekosea, haukuwa mtandao, ni Mkundi wa Google.

Muhimu unapoanzisha blogs usome Terms of Service (ToS) maana ukienda nje kidogo access inakuwa yao!

Website najua ngumu ku-manage, ina gharama pia. Lakini ieleweke kuwa contents zote kwenye blogs ni mali ya Google!
 
Jamaa kaleta taarifa, anasema ana barua na ataiweka hapa.

Hilo sio kosa, kuiweka hiyo barua hapa kutasaidia kuionyesha serikali kwamba JF ni omnipotent, JF sio Mac, Halisi, Invisible wala Enigma.

Pia itawadhihirishia kwamba mbinu zao za kunyamazisha wananchi zimejulikana hivyo wasitishe zoezi au plan zao..

Sijaona kama Josm anatishia bali anataka kuleta dataz.
sikuwezi aminia
 
Halafu naona wameiita Mtandao... Wamekosea, haukuwa mtandao, ni Mkundi wa Google.

Muhimu unapoanzisha blogs usome Terms of Service (ToS) maana ukienda nje kidogo access inakuwa yao!

Website najua ngumu ku-manage, ina gharama pia. Lakini ieleweke kuwa contents zote kwenye blogs ni mali ya Google!

Asante kwa maelezo.

Hapa unatuthibitishia kuwa hata JF ni mali ya google, wanaweza kuaccess chochote na wakati wowote wanaotaka kama vile unavyoweza kuaccess post za members (members wana passwords za account zao humu lakini post zinaweza kuwa-accessed without the knowledge ya member mhusika).
 
Kuna habari nyingine pia zina sema kuwa JF ikombio kupingwa china kabla ya mwezi wa 8 mwaka huu.hii ni kwa site zote zinazo zungumzia maswala ya serikali na siasa kwa ujumla zina takiwa zi fungwe labla ya uchaguzi mwakani kwani zimeonekana kuwa tishio.hakika hawa watu hawata tuweza,tuko sambamba nao.kwa nini wasifungie website za ngono wanakuja kufungia site ambazo zina elimisha jamii kuondokana na ujinga n'k.
Josm,

Umedanganya kuhusiana na JF. Naomba usifanye hivyo tena! China na JF wapi na wapi?

Tuna website 7 China ambazo zime-link JF na tena ni kwa ajili ya vitu ambavyo vinaelimisha watu wao.

I stand to be corrected!
 
josm,
BIDII ilivuna emails za watu na kutuma messeges kwao bila ridhaa yao, au sio?
Na kwamba haikuwa rahisi ku-unsuscribe (although few weeks ago that was possible)?
 
Asante kwa maelezo.

Hapa unatuthibitishia kuwa hata JF ni mali ya google, wanaweza kuaccess chochote na wakati wowote wanaotaka kama vile unavyoweza kuaccess post za members (members wana passwords za account zao humu lakini post zinaweza kuwa-accessed without the knowledge ya member mhusika).
Unamaanisha nini?

Unajua maana ya Google Group mkuu? Nasita kuendelea kuandika!
 
Josm,

Umedanganya kuhusiana na JF. Naomba usifanye hivyo tena! China na JF wapi na wapi?

Tuna website 7 China ambazo zime-link JF na tena ni kwa ajili ya vitu ambavyo vinaelimisha watu wao.

I stand to be corrected!

Nadhani Josm alimaanisha kupigwa chini, sio kupigwa china.

I stand to be corrected.
 
Halafu naona wameiita Mtandao... Wamekosea, haukuwa mtandao, ni Mkundi wa Google.

Muhimu unapoanzisha blogs usome Terms of Service (ToS) maana ukienda nje kidogo access inakuwa yao!

Website najua ngumu ku-manage, ina gharama pia. Lakini ieleweke kuwa contents zote kwenye blogs ni mali ya Google!

Lakini mkubwa hujatutoa wasiwasi sisi addicts wa JF kama na huyu mkombozi wa wanyonge(JF) watamnyofoa je kuna ukweli na HABARI hii? je mtachukua hatua gani? kumbuka mchango wangu unakuja ....mkono mtupu haulambwi.
 
Back
Top Bottom