Bidhaa za EDMARK, ni kweli zinapunguza uzito?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Habari wadau,

Naomba kuuliza kwa ambae ametumia bidhaa za EDMARK za kupunguza uzito je ilimsaidia kweli ama kama una mtu unaemjua alitumia bidhaa za EDMARK akafanikiwa kupunguza uzito.

Asanteni.
 
Zinapunguza ukifuata masharti hasa ya misos...mm nilitumia na nikapunguza kilo 5 ndani ya week 2...wengine wanapunguza zaid ya hzo
 
Habari wadau,

Naomba kuuliza kwa ambae ametumia bidhaa za EDMARK za kupunguza uzito je ilimsaidia kweli ama kama una mtu unaemjua alitumia bidhaa za EDMARK akafanikiwa kupunguza uzito.

Asanteni.
Usijisumbue na dawa bro, hizo ni biashara tuu, uzito husababishwa na jiko na huondolewa kwa jiko tuu. Fuata masharti ya kula toka kwa mtaalam wa lishe utapungua uzito na kitambi kwa gharama nafuu. Achana na madawa yenye sumu hayo.
 
Back
Top Bottom