but mapenzi watu wanayapa umuhimu mkubwa kuliko....
chukulia we ni mgonjwa mahututi,uhai na afya ni muhimu kuliko mapenzi
au unatafuta kazi ,au nyumba yako imeungua.....
what love got to do with it??????
but mapenzi watu wanayapa umuhimu mkubwa kuliko....
chukulia we ni mgonjwa mahututi,uhai na afya ni muhimu kuliko mapenzi
au unatafuta kazi ,au nyumba yako imeungua.....
what love got to do with it??????
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza.
Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.
No sex without luv!
Mmmh Naz..kama mapenzi ni BIDHAA inakuaje isiuzwe?
Katika watu naowapenda JF sanasana MMU ni wewe thread zako zinavutia na hazitii uvivu kusoma raha kweli unasoma kidogo tu ushaelewa sante sana mtoto mzuri eeehhh me love you......
Umenena vyema kabisa kitu penzi hauwezi kupata thamani yake zaidi ya moyoni mwa mtu........... hata juzi niliwaambia nnunu na wenzie kina maty, WL, nk kuwa mie mambo ya zawadi simindi kivile ilimradi moyo wake kauelekeza kwangu hata kama ananichuna mie poa tu ha haha ha ha asubuhi njema bana
mh mh mh!dena najua ulichoandika humaanishi,,,,hivi anamaanisha mapenzi ni bidhaa adimu? au upendo bidhaa adimu? sijaelewa nisaidie.
kama mapenzi hayatolewi bure kivipi yasiwe na thamani (attached value)?Mapenzi sio bidhaa
Mapenzi ni utu