Bidhaa adimu maishani

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,683
8,829
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza.
Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.
 
wewe naz una vituko wewe..

wamama wa mjini wana msemo unasema..
mapenzi hayauzwi na wala hayatolewi bure......
 
but mapenzi watu wanayapa umuhimu mkubwa kuliko....

chukulia we ni mgonjwa mahututi,uhai na afya ni muhimu kuliko mapenzi

au unatafuta kazi ,au nyumba yako imeungua.....

what love got to do with it??????
 
Tatizo ni jinsi
La kulipata..
maana siku hizi
Mapenzi ni
Kidanganyana tu
Au kuangalia nani ana nini
ninacho taka....
 
but mapenzi watu wanayapa umuhimu mkubwa kuliko....

chukulia we ni mgonjwa mahututi,uhai na afya ni muhimu kuliko mapenzi

au unatafuta kazi ,au nyumba yako imeungua.....

what love got to do with it??????

Unapata mtu wa kukuliwaza..kutuliza moyo wako..kukusaidia na hay6atatizo yako and so so!
 
Katika watu naowapenda JF sanasana MMU ni wewe thread zako zinavutia na hazitii uvivu kusoma raha kweli unasoma kidogo tu ushaelewa sante sana mtoto mzuri eeehhh me love you......

Umenena vyema kabisa kitu penzi hauwezi kupata thamani yake zaidi ya moyoni mwa mtu........... hata juzi niliwaambia nnunu na wenzie kina maty, WL, nk kuwa mie mambo ya zawadi simindi kivile ilimradi moyo wake kauelekeza kwangu hata kama ananichuna mie poa tu ha haha ha ha asubuhi njema bana
 
but mapenzi watu wanayapa umuhimu mkubwa kuliko....

chukulia we ni mgonjwa mahututi,uhai na afya ni muhimu kuliko mapenzi

au unatafuta kazi ,au nyumba yako imeungua.....

what love got to do with it??????

Kwa hiyo ndo unataka kusemaje hapo sasa The Boss????
 
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza.
Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.

Tusiongopeane sasa hv kuna sex tu hakuna love.
 
Katika watu naowapenda JF sanasana MMU ni wewe thread zako zinavutia na hazitii uvivu kusoma raha kweli unasoma kidogo tu ushaelewa sante sana mtoto mzuri eeehhh me love you......

Umenena vyema kabisa kitu penzi hauwezi kupata thamani yake zaidi ya moyoni mwa mtu........... hata juzi niliwaambia nnunu na wenzie kina maty, WL, nk kuwa mie mambo ya zawadi simindi kivile ilimradi moyo wake kauelekeza kwangu hata kama ananichuna mie poa tu ha haha ha ha asubuhi njema bana

mh mh mh!dena najua ulichoandika humaanishi,,,,hivi anamaanisha mapenzi ni bidhaa adimu? au upendo bidhaa adimu? sijaelewa nisaidie.
 
nikitafakari zaidi naweza kuona viko vingi ambavyo vinaweza kuwa adimu,uhai wa mtu si adimu?uhai na penzi kipi rahs kupata?heshima nayo yaweza kuwa adimu,hekima pia,ukarimu,n.k .n.k
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom