Bibi na Bwana wanatwangana nje ya Shoprite

Mkuu, Facilitator how far sure are you ninapoandika maneno haya siko ndani ya ndoa?

Sipendi kujiingiza kwenye malumbano ila concern yangu ni hiyo kauli yako. Ukiona mtu ananyanyua mkono kumpiga mwenzi wake, do not quickly judge the action. You just never know..
 
hapo walikuwa na ugomvi long ,bahat mbaya wamekwenda kuprovokiana hadharan na hayo ndo matokeo
 
Aaah!!Acha wachapane tu watu wenyewe vibwanyenyeee,vinene hivyo!!
 
ugomvi ulikuwa msg iliyoingia kwenye simu ya mwanaume...
i

Bahati mbaya nilikuwepo hapo na nilishuhudia yalivyonkatokea. Hata hivyo sisemi sababu gani wanatwanganiana. Ila tu nilitaka kumpongeza huyo mbaba sio kwa kudundana ila kwa kuishi na mwanamama wa aina hii. nina uhakika nikikaa na mama wa aina hii mwezi mmoja tu, mkanipime maradhi yeyote mtanikuta nayo yaani presha, kisugar,stomach wound sorry ulcers and alike.
 
Sasa kama ulikuwepo na ulishuhudia mpaka sababu ya ugomvi ulikuja kwetu kutuuliza ili tusemeje wakati hatukuwepo,si ungetuambia tu kisa cha ugomvi wao ili nasi tuepuke wanamama wa aina hiyo kama wewe ulivyoona....
 
Sehemu nyingine duniani mwanamme anaepigana na mwanamke ni wussy. Wapita njia wanamdaka wanamnyuka. Lakini Tanzania ndio kwanza bado tunatoka toka kwenye u-Zinjanthropus, watu wanaona ni poa tu, hatuna karne nyingi sana tokea tutoke kwenye mapango na hatujabadilika sana kiuelewa.
 
kwenye nyekundu hujaeleweka,
kwenye zambarau acha matusi we mbwa,
 
Sehemu nyingine duniani mwanamme anaepigana na mwanamke ni wussy. Wapita njia wanamdaka wanamnyuka. Lakini Tanzania ndio kwanza bado tunatoka toka kwenye u-Zinjanthropus, watu wanaona ni poa tu, hatuna karne nyingi sana tokea tutoke kwenye mapango na hatujabadilika sana kiuelewa.

Kwahiyo kama kawaida yenu waafrika a.k.a Monkeys mnataka kuiga hao wa nchi nyingine(Ulaya,America etc)? Sasa kwa matendo haya ya kuiga kila wengine wanachofanya ndiyo mnazidi kudhihirisha kuwa nyie(Sisi) ni Manyani kamili maana nyani huiga kila kitu anachokiona!
Hebu acheni ujinga kila jamii iishi kwa ustaarabu wake bana! Yaani mwanamke anifanyie ujinga nisi-react? Halafu hapo unaweza kuta ni mwanamke ndiyo anampiga mwanaume.
 
525134_10151245786385568_335058043_n.jpg

What did u think might be the cause of the fight?

Nani kasema hawa ni mke na mume??? Hapa inaonekana wazi huyu dada anadali malipo yake, we unadhani alifanya kazi ndogo? tena bure???? lazima kieleweke!!
 
Hizi simu za mikononi lazma ziondoke na ndoa nyingi duniani na hasa huku kwetu ...naamini baada ya kuamuliwa ugomvi wao ndoa imekalia kuti kavu...anytime inavunjika.
 
Sasa kama ulikuwepo na ulishuhudia mpaka sababu ya ugomvi ulikuja kwetu kutuuliza ili tusemeje wakati hatukuwepo,si ungetuambia tu kisa cha ugomvi wao ili nasi tuepuke wanamama wa aina hiyo kama wewe ulivyoona....

Nashukuru mkuu kwa ushauri. Lakini ukiwa makini kidogo tu utagundua kuwa katika maelezo yangu, sijauliza swali hata moja. Pengine unadhani ni mimi ndie nilianzisha uzi huu, hapana..angalia vidhuri sir. Uko sahihi kuhusu kueleza sababu ya mnyukuano huu. Ngoja wasahau kidogo maaana wananijua nikisema tu watanitambua haraka. Na mmoja ni member humu anakaa sana jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom