Bibi na Bwana wanatwangana nje ya Shoprite

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
525134_10151245786385568_335058043_n.jpg


What did u think might be the cause of the fight?
 
Ahhaha nani kafumaniwa
Ila vizuri kama ww ukituambia

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kwa wakurya na watu wa Musoma, ngumi ndio umoto wenyewe wa mapenzi
 
Hapa mwanamke ndiyo chanzo.
Kwa hisia zangu mama huyo hajaridhika na manunuzi waliyofanya na mumewe, anataka zaidi ya uwezo wao, matokeo amedharau kwa kukataa hata kubeba mizigo. mume ameona bora lawama kuliko fedheha.
 
Hapo tatizo inaonekana liko kwa mwanamke, kwanza mavazi aliyovaa ni rahisi mno kutongozwa na jemba nyingine kwani kaanika mapaja na ******, sasa braza atakuwa ameona wanaume wako wanampapasia kwenye makalio ya mke wake na mke katulia braza akaona wapi uwezo wake ni kumpiga mke wake na siyo wapapsaji. Shame on you all mnaowaachia wake zetu kutoka uchi uchi mitaani mkidanganywa zaidi na shetani kuwa "baby umependeza" yaani wewe braza unakuwa zumbukuku kwa kuruhusu mkeo aanike hifadhi yako. Acheni maisha ya kuiga kwenye Tv
 
mmmh, labda hawakuachiana hela ya matumizi halafu wamejikuta kila mtu anatumia kivyake
 
A man throwing his hand as a means of judgement to a woman, proves a weakness inside....!
 
Mama kambamba mumewe anapewa namba ya cim na mfanyakazi wa kike wa Shoprite.. Aka-snap..
 
Mie nahisi mmoja alimkuta mwenzie akiwa na nyumba ndogo shopping(could be man or woman)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom