Bibi na Bwana wanatwangana nje ya Shoprite

Sipendi kujiingiza kwenye malumbano ila concern yangu ni hiyo kauli yako. Ukiona mtu ananyanyua mkono kumpiga mwenzi wake, do not quickly judge the action. You just never know..

hakuna sababu utaja taja duniani inaweza justify kumpiga mwenzako. awe mdogo wako, mke au mmewe. ukiona kakukera, ondoka hapo. ikizidi, kama ni mke au mume wako, kuna kitu kinaitwa divorce. kama ni ndugu, kata mawasiliano, akizidi zingua, fuata mkondo wa sheria, hatupo sawa na wanyama, kuwa tuna deal na situations kwa kupigana
 
Kwahiyo kama kawaida yenu waafrika a.k.a Monkeys mnataka kuiga hao wa nchi nyingine(Ulaya,America etc)? Sasa kwa matendo haya ya kuiga kila wengine wanachofanya ndiyo mnazidi kudhihirisha kuwa nyie(Sisi) ni Manyani kamili maana nyani huiga kila kitu anachokiona!
Hebu acheni ujinga kila jamii iishi kwa ustaarabu wake bana! Yaani mwanamke anifanyie ujinga nisi-react? Halafu hapo unaweza kuta ni mwanamke ndiyo anampiga mwanaume.

kama hutaki kuwaiga wenzako, usitumie hiyo piece of technology uliyotumia kupost hapa jamvii, tembea uchi na usiishi ndani ya nyumba ya mawe among others. angalia standards zao za maisha, ubora wa maisha wao na uerevu wao ndo useme tuache kuiga.
na mambo ya kumpiga mwanamke.. te te te.. mkuu u have a long way to go
 
kwa jicho la kijinsia,naonekana huyu mama alishajipanga, hiyo tight imekaa kishari ili kwamba mambo yakisanuka anajisetiri
Hapo tatizo inaonekana liko kwa mwanamke, kwanza mavazi aliyovaa ni rahisi mno kutongozwa na jemba nyingine kwani kaanika mapaja na ******, sasa braza atakuwa ameona wanaume wako wanampapasia kwenye makalio ya mke wake na mke katulia braza akaona wapi uwezo wake ni kumpiga mke wake na siyo wapapsaji. Shame on you all mnaowaachia wake zetu kutoka uchi uchi mitaani mkidanganywa zaidi na shetani kuwa "baby umependeza" yaani wewe braza unakuwa zumbukuku kwa kuruhusu mkeo aanike hifadhi yako. Acheni maisha ya kuiga kwenye Tv
 
teh teh teh hiii inanikumbusha zamani sana mzee wangu alisha mtoa mama angu mkubwa nduki na mumewe home na kuwapiga marufuku wasikanyage tena pale baada ya kuanza kutwangana mikono live..! mimi hata kugombeshana mkiwa mbele ya watu tena especially mbele ya watoto yani hua naona ni kama upuuzi flani hivi..! yani ninaona ni kama udhalilishaji wa utu uzima wenu mbele ya watoto..!
 
525134_10151245786385568_335058043_n.jpg


What did u think might be the cause of the fight?
Mkuu hapo mbona kama ni maliwatoni? nafikiri ungesema Mlimani city ingekuwa sahihi zaidi.
 
Back
Top Bottom