Hebu ki-edit uweke kivumishi kabla sijakasirika nikakutoa kwenye orodha yangu.......ha ha ha haaaa.. babu hicho kihisishi tu..
Ingebidi mtoto abtizwe katika ibaada hiyohiyo
hao wamefanya ujinga tu, mbona wengi tumefunga ndoa tukiwa wajawazito....
lakini G-Crisis si umesoma kwamba alijifungua njiti?hapo wa kulaumiwa ni hao waliomshauri aende kanisani hivyo hivyo na uchungu wake kwa kisingizio kwamba ana wogaHapo bibi harusi alikuwa hajui kalenda yake ya ujauzito inaenda vp
Maandalizi yalichelewa si unajua tena mpaka ujipange
maandalizi ya nini wakati ushaharibu? mi siwezi kusimama na mimba ndeefu mbele ya wazazi wangu na gauni jeupe! tatizo letu ni kukariri tunataka harusi kama ya fulani. kwanza mi naona inakuwa very elegant harusi ya watu kumi tu chapchap na mnavaa traditionally mnajidai ndo style mlikuwa mnataka. if u cant get what u want, u want what u get afu life linasonga tu! kutia presha mtoto wa mwanamke mwenzio na dream wedding wakati ushakata keki ya taifa,lol
Naona huchezi mbali na matukio ya harusi, usijefanya hii mistake kwenye harusi yakonaona stress za harusi zilimzidi dada wa watu ndo mana akajifungua kabla.