Bibi harusi ajifungua kanisani

Tukio hili liwe changamoto kwa viongozi wa dini ili kuwahasisha waumini wao kuachana na ngono kabla ya ndoa
 
Hapo bibi harusi alikuwa hajui kalenda yake ya ujauzito inaenda vp
lakini G-Crisis si umesoma kwamba alijifungua njiti?hapo wa kulaumiwa ni hao waliomshauri aende kanisani hivyo hivyo na uchungu wake kwa kisingizio kwamba ana woga
 
Kule kwa binamu ambaye amefunga ndoa na mume asiye na nguvu, watu wanapigia debe "shake well before use"... Hawa wameshekiana vilivyo, imekuwa kizungumkuti!!
 
Wanakula kabla ya ruksa ndio matokeo yake hayo, Hii ya ndafu kuanguka imeongezwa kunogesha janvi au ndio ukweli? kama ndivyo hii ni kali mnooo!
 
maandalizi ya nini wakati ushaharibu? mi siwezi kusimama na mimba ndeefu mbele ya wazazi wangu na gauni jeupe! tatizo letu ni kukariri tunataka harusi kama ya fulani. kwanza mi naona inakuwa very elegant harusi ya watu kumi tu chapchap na mnavaa traditionally mnajidai ndo style mlikuwa mnataka. if u cant get what u want, u want what u get afu life linasonga tu! kutia presha mtoto wa mwanamke mwenzio na dream wedding wakati ushakata keki ya taifa,lol
Maandalizi yalichelewa si unajua tena mpaka ujipange
 
maandalizi ya nini wakati ushaharibu? mi siwezi kusimama na mimba ndeefu mbele ya wazazi wangu na gauni jeupe! tatizo letu ni kukariri tunataka harusi kama ya fulani. kwanza mi naona inakuwa very elegant harusi ya watu kumi tu chapchap na mnavaa traditionally mnajidai ndo style mlikuwa mnataka. if u cant get what u want, u want what u get afu life linasonga tu! kutia presha mtoto wa mwanamke mwenzio na dream wedding wakati ushakata keki ya taifa,lol

Maandalizi ya harusi.
Si unajua wengine wanapenda harusi badala ya kurekebisha ndoa au kubariki ndoa.
Wengi wakina dada wanaamini kubariki ndoa hakunogi kama kufunga harusi. Hapa sasa haijarishi ana mimba au hana.
 
Watu wanajaribu wasije uziwa mbuzi kwenye guni,tatizo ni huyo mtoto alikuwa na haraka ya kuliona jua.
 
Back
Top Bottom