wadau wenzangu wa JF hivi shindano la Bibi Bomba linaloendeshwa na clouds media mnalielewaje? Me naona kama linawadhalilisha bibi zetu hawa na ni kama kujitafutia laana tu kwa kufanya hvyo....
bibi bomba ni uhuni.....wangewachukua masharobaro watembea boxer nje..wawarekebishe...waite kijana bomba...ningewaelewa..hao wazee nahisi hawana wajukuu
Lakini si wametaka wenyewe?! Wale ni watu wazima wenye akili timamu.
Mara wanapelekwa club..loh! Hata hawa Kussaga na Ruge waliopitisha hili shindano cjawaelewa kabisa..
Yani kuna watu wakishaona Clouds Media tu, kurupu wanaanza kupost pumba zao, jamani?
Kuna ndezi amedai wabibi wanafanya kazi, kwani wamebeba zege mule, mbona msijitokeze kuwasemea kina bibi wanaofagia barabarani kwa vifaa duni na risk ya ajali?
Manina!