Bibi Bomba ya Clouds Media

Mbwiga88

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
642
142
wadau wenzangu wa JF hivi shindano la Bibi Bomba linaloendeshwa na clouds media mnalielewaje? Me naona kama linawadhalilisha bibi zetu hawa na ni kama kujitafutia laana tu kwa kufanya hvyo....
 
wadau wenzangu wa JF hivi shindano la Bibi Bomba linaloendeshwa na clouds media mnalielewaje? Me naona kama linawadhalilisha bibi zetu hawa na ni kama kujitafutia laana tu kwa kufanya hvyo....

Jamii yoyote ya kiungwana ingewafanya wapumzike. Kitendo cha kuwafanyisha kazi hawa kazi hawa wabibi ni unyonyaji na udhalilishaji
 
Mara wanapelekwa club..loh! Hata hawa Kussaga na Ruge waliopitisha hili shindano cjawaelewa kabisa..
 
Lile ni shindano na sidhani kama walilazimishwa!!walikubali wenyewe na ni intertainment!nadhani pale wote wanaelewa wanachofanya!kama kuna aliyeona ni udhalilishaji ange~quit shindano!mi kwa upande wangu wananiburudisha kwakweli!!
 
Yaani jana kwa bahati mbaya nilitune clouds kipindi cha diva! Hadi roho iliniuma! Yaani upuuzi usiovumilika! Mara bibi tafuna big G! Mara sema hivi! Kilichoniacha hoi zaidi ni ile segment ya mtu kuomba atongozewe demu! Machalii wa a-town ndo naona wana ulimi mzito zaidi, maana wao ndo wanao ongoza kupigiwa mapande ya kutungozewa. Halafu live mtangazaji anamlazimish demu atoe jibu zuri! Yaani kama ndo kwenda na wakati hivi basi mm nibaki na ushamba wangu tu. Hivi Ruge na Kusaga wanasikilizaga kile kipindi kweli? Nilikuwa chumbani pekeyangu ila nilijionea aibu mwenyewe! Wacha vipaji vyangu nivikalie tu, kuliko kujidhalilisha na hii industry.
 
bibi bomba ni uhuni.....wangewachukua masharobaro watembea boxer nje..wawarekebishe...waite kijana bomba...ningewaelewa..hao wazee nahisi hawana wajukuu
 
bibi bomba ni uhuni.....wangewachukua masharobaro watembea boxer nje..wawarekebishe...waite kijana bomba...ningewaelewa..hao wazee nahisi hawana wajukuu

hiki kipindi ni michosho sana!wangeweka vijana tuone wakali wapya wanavyozaliwa kwani vipindi kama hivi vinavyorushwa katika kichupa ndio huzalisha mastaa wapya!
 
Kwa mtazamo wangu,suala la kuwahusisha wabibi,mimi sina tatizo nalo,changamoto/kasoro kubwa nilizoziona
  • .Malengo ya kipindi hayajaandaliwa vizuri,kwa watu wa jinsi na rika lile,
  • Contents za kipindi haziendani na wale wazee,
  • Yule mtangazaji ndio tatizo kubwa,haendani kabisa na wale wazee wangu,anaongea maneno ya ujana/mtaani sana,mavazi na muonekano hauendani na wale wazee kabisa..
Naamini kile kipindi kikiboreshwa kinaweza saidia sana jamii yetu hii ambayo mmomonyoka wa maadili kwa sasa ni mkubwa sana,..KIBORESHWE!
 
Yani kuna watu wakishaona Clouds Media tu, kurupu wanaanza kupost pumba zao, jamani?
Kuna ndezi amedai wabibi wanafanya kazi, kwani wamebeba zege mule, mbona msijitokeze kuwasemea kina bibi wanaofagia barabarani kwa vifaa duni na risk ya ajali?
Manina!
 
Mara wanapelekwa club..loh! Hata hawa Kussaga na Ruge waliopitisha hili shindano cjawaelewa kabisa..

Twende polepole mkuu wangu, usikimbilie kutaja watu tu.
Eleza nini hakiko sawa, na kwanini hakiko sawa...
 
Yani kuna watu wakishaona Clouds Media tu, kurupu wanaanza kupost pumba zao, jamani?
Kuna ndezi amedai wabibi wanafanya kazi, kwani wamebeba zege mule, mbona msijitokeze kuwasemea kina bibi wanaofagia barabarani kwa vifaa duni na risk ya ajali?
Manina!

niaje adamu.?baba johnii up on this..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom