Biashara ya sarafu za Mtandao (Cryptocurrency)

Hello guys,

Jamani ndugu zangu hivi mnaionaje hii inshu ya crypto currency? Maana nataka kuingia mazima huko.
Haiwezekani miezi mitatu umeweka packing humu halafu wachangiaji watatuHuu mjadala wako naona umedoda kutokana na ugeni wako hapa Jf. Aidha, members humu yawezekana wameshaliwa sana ela huko crypto so wameona si vema kutonesha mshono
 
Cypto is awaiting game,km huna subira kila siku utakuta portfolio yako inashuka hapo ukiuza tu zinapata mpaka unashangaa,nunua coin wait for years kitu ambacho wengi hatuwezi
 
Back
Top Bottom