Kuna sehemu moja inaitwa ng'ong'ona karbu na UDOM kule COED panafaa sana. Utapiga pesa sana wanachuo kibao. Utakuja kunishukuru baadae.Habari zenu wapendwa? Nipo Dodoma nimepata wazo la kununua contena nitafute sehemu iliyochangamka niweke genge niuze matunda, nyanya, vitunguu,viazi, niweke na mizani niuze na mchele, unga, sukari, dagaa, nikaange na samaki n.k.
Tatizo limekuja kwenye kutafuta eneo zuri lenye population ili niweke ilo contena, naombeni mchango wenu wa mawazo kwa anayefahamu sehemu nzuri kwa Dodoma ili niweze kufanikiwa ntashukuru sana kwa mchango wenu na Mungu awabariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu moja inaitwa ng'ong'ona karbu na UDOM kule COED panafaa sana. Utapiga pesa sana wanachuo kibao. Utakuja kunishukuru baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
aje atanikutaKuna sehemu moja inaitwa ng'ong'ona karbu na UDOM kule COED panafaa sana. Utapiga pesa sana wanachuo kibao. Utakuja kunishukuru baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
sidhani kama wingi wa biashara utakufanya na ww usifanye biashara...cha msingi ubunifuNapafahamu Ila mbona naona Kama Kuna wafanyabiashara weng sana kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo DmTafuta maeneo ya uswahili kama maili mbili au changombe utauza sana. Kule nongona ni pazuri ila ni biashara ya mssimu na msimu unakaribia kuisha ambao ni mwwzi julai.
Afu naomba faragha tuongee
CC Demiss na Zero IQHabari zenu wapendwa? Nipo Dodoma nimepata wazo la kununua contena nitafute sehemu iliyochangamka niweke genge niuze matunda, nyanya, vitunguu,viazi, niweke na mizani niuze na mchele, unga, sukari, dagaa, nikaange na samaki n.k.
Tatizo limekuja kwenye kutafuta eneo zuri lenye population ili niweke ilo contena, naombeni mchango wenu wa mawazo kwa anayefahamu sehemu nzuri kwa Dodoma ili niweze kufanikiwa ntashukuru sana kwa mchango wenu na Mungu awabariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jf, nawazo lakuanzisha biashara ya genge, lakini la kitofauti kidogo na haya tuliyozoea, nikiwa na imani nitawateka watu wengi, sababu itakuwa karibu na barara kuu na paking ipo ya kutosha,
Nikitarajia kuuza matunda ya aina zote, vitu vya sokoni, mayai, ikiwezekana na kuku.
Naomba ushauri wenu niwe na mtaji kiasi gani wa kuanzia? ni soko gani naweza kupata vitu kwa bei ya chini?
Na kuna ulazima wa kuwa na leseni ya biashara?
Weka numbers tuone hio faida na si maneno tu.
Hesabu hadi ukafikia hitimisho ina faida sana.Numbers kivipi mkuu
Hesabu hadi ukafikia hitimisho ina faida sana.