Biashara ni matangazo ila Tigo this is too much!

B.O.G

Senior Member
Feb 17, 2011
144
40
nipo miongoni mwa watumiaji wa mtandao wa tigo ila hakuna kitu kinachonikera kama hayo matangazo yao wanayo tuma kila wakati.na ni yale yale yanajirudia na wengine ni airtell hawana ubunifu wowote katika matangazo yao.
 
jamaa hapo umeongea,yan tgo ni upuuz m2pu kila wakati msg ukicheki tgo wame2ma.,wanabore sana
 
inakera zaidi matangazo hayo yanapotumwa usiku wakati umejipumzisha.Unashituliwa na simu unapoitizama ni sms ya
matangazo w
 
ukitaka kujuwa kuwa tigo wanabidii ya kutuma sms kopa muda wa maongezi, utatumiwa sms nyingi sana hata kama umekopa shilingi 200. wao wanatuma sms bila kuchoka na wanabidii kweli. na utatamani kuzima sim.
 
Mkuu nashukuru kwa kuliona hilo binafsi ninakerwa sana tena sana leo katika dakika zisizopungua kumi nimetumiwa msg 10 kutoka tigo
 
hilo la zain, ''kama umeupenda wimbo huu bonyeza nyota'' I hate these noise
 
Halafu unaweza kuwa una ishu ya muhimu unasubiria unasikia msg zinaingia mfululizo ukiangalia unakuta ni msg za tigo inakera kweli
 
Yaani umenigusa mimi hawa tigo siwapendi kabisa yaani wanakera mno na hizo msg zao

Zain pia na kama umeupenda wimbo huu bonyeza....utakuwa wa kwako.... inaudhi msno tena sana
 
achaneni na mtandao wa kidenti ,ndo gharama ya kuwa na mtandao wenye coverage mwisho mlandizi, mtalalamika sana njooni kwenye mitandao ya ukweli vdcm
 
hivi hii tigo ni chakula gani? Nasikia inaliwa na inapendwa sana mjini
 
Tigo kwamatangazo sijui salio liko vip au unadaiwa sijui nn. nadhani nina mpango wa kuuhama mtandao wa tigo!
 
Tunashkuru kwa kupata malalamiko yenu, na tunafurahia kuona vijana mnatoa madukuduku yenu kwa uwazi namna hii. acha niwasiliane na wahusika ili hili tatizo litatuliwe haraka iwezekanavyo. count on me! nipo hapa kwa ajili ya kutetea haki za wanyonge. msichoke kutupatia malalamiko yenu kuhusiana na lolote ambalo linawakera hapa TZ.
asanteni kwa ushirikiano.
 
  • Thanks
Reactions: RR
Tunashkuru kwa kupata malalamiko yenu, na tunafurahia kuona vijana mnatoa madukuduku yenu kwa uwazi namna hii. acha niwasiliane na wahusika ili hili tatizo litatuliwe haraka iwezekanavyo. count on me! nipo hapa kwa ajili ya kutetea haki za wanyonge. msichoke kutupatia malalamiko yenu kuhusiana na lolote ambalo linawakera hapa TZ.
asanteni kwa ushirikiano.

wenzio tupo serious hapa.
Utakula fimbo hadi usahau jina lako.
 
Back
Top Bottom