Biashara ni matangazo ila Tigo this is too much!

wenzio tupo serious hapa.
Utakula fimbo hadi usahau jina lako.
kweli bongo ukombozi ni ndoto! yaani nimejitolea kuwakomboa halaf mnafanya mzaha! omba razi kabla sijahairisha hii motion yangu. halaf bora omba razi kwa PM.
 
mwenzio nina phd ya kiswahili nimeipatia havard university.
Usishangae.





Afadhali wewe una PHD ya kiswahili toka Havard,mwenzio nina miaka zaidi ya kumi sijaongea na mtu kiswahili zaidi ya hapa JF ila kwa domo la Guruwe nikakutoa kapa hahahahahah.....................
 
Afadhali wewe una PHD ya kiswahili toka Havard,mwenzio nina miaka zaidi ya kumi sijaongea na mtu kiswahili zaidi ya hapa JF ila kwa domo la Guruwe nikakutoa kapa hahahahahah.....................

aisee domo la guruwe ni msamiati mpya.
Ngoja niwasiliane na baraza la kiswahili kwanza.
 
ukitaka kujuwa kuwa tigo wanabidii ya kutuma sms kopa muda wa maongezi, utatumiwa sms nyingi sana hata kama umekopa shilingi 200. Wao wanatuma sms bila kuchoka na wanabidii kweli. Na utatamani kuzima sim.
halafu mkopo wenyewe wakijinga eeeeeti tigo kwenda tigo mkopo wakijinga huo! Tigo wasipobadilika nawamwaga rasmi!
 
kwa kweli wanaboa sana hivi akuna jinsi ya kuzuia kutokutumiwa matangazo yao asa zaidi pale salio lako linapokuwa chini ya sh 50 inakera sana kama masimangizo fulani hivi
 
Tigo tafadhali simu yangu haina uwezo wa kutumi ahiy facebook ,hivyo achani kunitumia hizo sms zenu maana sasa ni karibu mara ya tano manitumia , Na mkiendelea kunitumia tumia nawahama hivyo kuweni makini sana.
 
Back
Top Bottom