Biashara ipi inafaa kwa mwenye mtaji wa laki nne(400,000tsh.) Katika mji wa songea?

Ernst kipire

JF-Expert Member
Dec 16, 2019
286
291
Habr gani wana jamvi?

Natumaini mu Salam!!

Leo ninaswari na Naomba anayejua juu juu ya hali ya kiuchumi katika mji wa songea.......

Nikiwa na maana ni biashara ipi anaweza ifanya mtu anaye taka kufanya biashara mjini hapo na ikiwa ana mtaji wa tsh laki nne pekee?
 
Uliposema kuwa ni kwa Songea ( Mkoani Ruvuma ) tu umenikera kwani kwa hicho Kiasi / Kiwango ulichonacho cha Tsh 400,000/= hata kwa hapa Mkoani Dar es Salaam ukiwa na Mipango, Nia na Malengo ni Pesa nzuri tu ya Kukutoa Kimaisha.
 
Nadhani anamaanisha Yupo Songea. Sasa ni lazima aje Dar ?!

Back
Top Bottom