nataka kujua that
inategemea na kijiji chenyewe maana kuna vijiji mji hapa waweza kuuza petrol au diesel, kufungua ka grocery ka bia au kuwa agent wa soda au kununua mazao na kuyauza mjini!!
Naongezea hapo, inategemea pia ana mtaji kiasi gani.
tisa desemba, mimi nilishakata shauri, nimeamua kumfuata Yesu. Jina langu lisikutishe. Ningekuwa karibu na kwako ningekuwa nakusaidia kuserve wateja mara moja moja.nyongeza nyingine, inategemea na imani yako mfano hapa kijijini kwetu mi nina banda la kiti-moto na bia, linanilipa sana, najua maamuma huwez fanya hii biashara kwa sababu imani yako hairuhusu.
tisa desemba, mimi nilishakata shauri, nimeamua kumfuata Yesu. Jina langu lisikutishe. Ningekuwa karibu na kwako ningekuwa nakusaidia kuserve wateja mara moja moja.
Nitaanzisha biashara kukukamatakilimo cha bange.
Sabuni
Ananoma Na UleviKwani Yesu hana noma na kitimoto na pombe?
Kama hakuna umeme,nunua solar uwe unachajisha simu za watu.nataka kujua that