Biashara gani inalipa vijijini

inategemea na kijiji chenyewe maana kuna vijiji mji hapa waweza kuuza petrol au diesel, kufungua ka grocery ka bia au kuwa agent wa soda au kununua mazao na kuyauza mjini!!

Naongezea hapo, inategemea pia ana mtaji kiasi gani.
 
inategemea hapo kijijini kunalimwa kitu gani. Kama eneo hilo kunalimwa mahindi au mpunga, tengeneza store nzuri, wakati mwa mavuno kusanya as much as possible kwa bei ndogo. Weka kwenye store yako kwa miezi sita au minane halafu uza
 
Naongezea hapo, inategemea pia ana mtaji kiasi gani.

nyongeza nyingine, inategemea na imani yako mfano hapa kijijini kwetu mi nina banda la kiti-moto na bia, linanilipa sana, najua maamuma huwez fanya hii biashara kwa sababu imani yako hairuhusu.
 
biashara itategemea na mahali ulipo wewe kwani kuna sababu mbali mbali kama vile kufanya Market Survey ili upate jua ni kitu gani kipo ktk demend ya wana kijiji hicho kwa muda huo....asante.
 
nyongeza nyingine, inategemea na imani yako mfano hapa kijijini kwetu mi nina banda la kiti-moto na bia, linanilipa sana, najua maamuma huwez fanya hii biashara kwa sababu imani yako hairuhusu.
tisa desemba, mimi nilishakata shauri, nimeamua kumfuata Yesu. Jina langu lisikutishe. Ningekuwa karibu na kwako ningekuwa nakusaidia kuserve wateja mara moja moja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom