Bia ni bora kuliko mwanamke

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke
1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza
(haina mapozi)
2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.
(haina wivu)
3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua
(huwa bikira)
4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.
5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi
(hamu haiishi)
6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia.

Sure hata mi naunga mkono, si busara kumfananisha mwanamke na bia. Acha inaboa ndugu, think of your mother!

it is not fair kumfananisha mwanamke na pombe

Sure hata mi naunga mkono, si busara kumfananisha mwanamke na bia. Acha inaboa ndugu, think of your mother!

come on guyz this is Jokes and gossips forum its all jokes,kumbe nyie hamjui watani ambao hata mama yako akifa bada wanakupiga mabango! Ila hamna anaemind it's all jokes. Any way the joke is hilarious,for the ones offended take it easy it ain't serious.

lakini itakuwa ngumu, pamoja na hizo merits za bia, bado mwanamke ana kamata zaidi ya kinywaji, acha mbwembwe banaaaaaa.

its only jokes banaa not real mazeee..kwani nani ajui mwanamke ni boraa kuliko kila kitu.

Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke

1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza

(haina mapozi)

2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.

(haina wivu)

3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua

(huwa bikira)

4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.

5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi

(hamu haiishi)

6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia.

Bia ni bora kuliko mama yako

SIO WABUNGE TU WANAOHITAJI KUPIMWA AKILI,HATA HUMU JF KUNA WAGONJWA WENGI WANAOHITAJI KUPIMWA. Tuandike proposal kuomba huduma hiyo!!

Invisible kuptia Jf doctor naomba mpime wa'tz wenzetu medula obulangata zao

Ukitaka kupikiwa bia inapika, bia inasafisha nyumba, bia ina take care of you, lastly bia inakupa na watoto. Bia wee bia kweli ni zaidi ya mwanamke.

Back
Top Bottom