Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Mimi yangu macho...Ngoja nisubiri nione nini kitaendelea baada ya pazi kufunguliwa. Wakiboa nahamia channels nyingine!
 
Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?
Bhoke-Tanzani-2.jpg
 
Bhoke

Age26HometownDar es Salaam Occupation TV BroadcasterBiography Tune in on Sunday 1 May to get Bhoke's full profile.
 
Kumbe Bhoke wa EATV zali ndio limemuangukia hope she turns out be a success wishing her all the best coming this Sunday May 1st when the official Big Brother Africa Series will begin.

Duh!!! Halfu this time wasichana wa kumwaga
 
Yaani si jui itakuwaje halafu wote ni either radio or tv hadi ma Dj na ma CEO wa media company, sasa hawa BBA wameamua miaka miwili mfululizo kuweka mastar na kina kifutio watatokaje? na kama waliamua hivi kwa nini hawakusema wakati wana advertise watu wajitokeze kwenye audition?
 
1st she is beautiful..

Second for some reason
Kuwa na wasichana wengi kwenye
program yeyote ni kivutio sana..
Na hii ni biashara tu kwa hiyo watachangu
Watu wenyewe sifa fulani au uzuri kufani
Ili watazamaji (target audience) wai enjoy hiyo
program na wawe na hamu ya kufuatulia...
 
Yaani si jui itakuwaje halafu wote ni either radio or tv hadi ma Dj na ma CEO wa media company, sasa hawa BBA wameamua miaka miwili mfululizo kuweka mastar na kina kifutio watatokaje? na kama waliamua hivi kwa nini hawakusema wakati wana advertise watu wajitokeze kwenye audition?
Auditions zilikuwepo kwa nchi zote ambazo zimechaguliwa kushiriki na walitangaza pia sema ndio hivyo watu wenye access ya DSTV sio wengi sana
 
hahahhahahaha, wakati mwingine wa madness huoooo,
lets hope atatuwakilisha vyema, asituabishe tuuuu, halafu soon wataanza banjuana ili kuvutia wapenz zaidi
 
hahahhahahaha, wakati mwingine wa madness huoooo,
lets hope atatuwakilisha vyema, asituabishe tuuuu, halafu soon wataanza banjuana ili kuvutia wapenz zaidi

Wanaume wachache inabidi pale ujanja kuwahi utaona wasichana watakavyoanza kutafuta attention kwa wale vijana. nanusa ngumi za kike
 
Huyu Bhoke namfahamu kiasi, nafikiri atawakilisha vema tu ngoja tuone, kila la heri kwake.

Asante Gaga kwa taarifa, maana nlishasikia watu wengine km 3 tena tofaut kuwa ndo wawakilishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom