Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

What about him
Jossy-Namibia-2.jpg
Jossy

Age28HometownWindhoekOccupation Recording Artist / Marketing,Sales and Ad ManagerBiography Tune in on Sunday 1 May to get Jossy's full profile.

Du huyu jamaa atamfaidi sana Bhoke. Naona wivu sana!!!!!!
 
Mwaka huu hakuna mchezo maHB kwa kwenda mbele sasa sijui watakuwa na akili ya kupambanua mambo na strategies
kitu cha mozambique
Herminio-Moz-2.jpg
 
Mwaka huu hakuna mchezo maHB kwa kwenda mbele sasa sijui watakuwa na akili ya kupambanua mambo na strategies
kitu cha mozambique
Herminio-Moz-2.jpg
Nimekiona mwenzangu yaani we acha tu nitafatiliaa mpaka naona hata humu kuingia itakuwa shida
 
Wa wapi huyu jamani ni HB!! hatar

BB Huyu atakuwa wa Angola huyu mbona mtamu hivyooooo hahahaha

Yaani we acha tu itakuwa hatari humo ndani kila demu atataka urafiki nae

Ni msouth africa huyu, at least this time wameweka kitu cha kueleweka

What about him
Jossy-Namibia-2.jpg
Jossy

Age28HometownWindhoekOccupation Recording Artist / Marketing,Sales and Ad ManagerBiography Tune in on Sunday 1 May to get Jossy's full profile.

Du huyu jamaa atamfaidi sana Bhoke. Naona wivu sana!!!!!!

Mwaka huu hakuna mchezo maHB kwa kwenda mbele sasa sijui watakuwa na akili ya kupambanua mambo na strategies
kitu cha mozambique
Herminio-Moz-2.jpg
:plane::plane:
 
Lome wa Blantyre mwaka huu ni kujiramba midomo tu mle ndani sharobaro za kufa mtu
TF cheki hiyo
Lomwe-Malawi-2.jpg
 
hahahahah lol
duuhh tutaanza kusikia sauti
yake kwenye JF mmmhhh
usimchokoze sana bwana..mmhh
we ngoja alie ni kazi kumbembeleza we acha tu hahahaha lol
Yaani hawa wamekosea kabisa bora wangenichukua hata mimi
 
Back
Top Bottom