The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Nione wivu wa nini sasa,kwani kuna mwanamke hajawahi kuwa na bikra!!!
:msela::msela::msela:
Nione wivu wa nini sasa,kwani kuna mwanamke hajawahi kuwa na bikra!!!
kumbe ndio maana jigga kadumu naye!
mmmmmhhhhhh haya, hamna mtu anapenda ambiwa ametoa comment kwa kuwa ana wivu especially kwenye suala kama hilo la bikira,si ishu!!!!
Asante kwa hongera.:biggrin:
facts?
Nione wivu wa nini sasa,kwani kuna mwanamke hajawahi kuwa na bikra!!!
:nono::nono:uke:uke:uke:uke:who lied u, watu walisha kula wakashiba wakanawa wakaondoka, ndio Jay -Z akachukua
alikuta waziiiii
Wivu wa nini tena?? kila mtu si ana maamuzi yake na mwili wake jamani,hiyo dhana ya kila kitu wivu,itafika sehemu hata mtu unaogopa kutoa opinion kwa kuhofia kuambiwa wivu,si ishu kuwa alikuwa virgin,ingekuwa ishu kama na Jayz naye angekuwa virgin b4 meeting Beyonce....lol...........mimi mwenyewe i was a virgin before meeting my first boyfriend:shut-mouth:
Kwani kuna wengine wanakuwa sio virgin kabla ya kukutana na boyfriend wa kwanza? Jay Z ni boyfriend wa kwanza kwa Beyonce?
Kwani kuna wengine wanakuwa sio virgin kabla ya kukutana na boyfriend wa kwanza? Jay Z ni boyfriend wa kwanza kwa Beyonce?
:nono::nono:uke:uke:uke:uke:who lied u, watu walisha kula wakashiba wakanawa wakaondoka, ndio Jay -Z akachukua
alikuta waziiiii
Hautaki sasa au????
Kuna kipi kipya hapo? Kwani kuna mwanamke hajawahi kuwa na bikra? Au kwakua hatutangazi kuwa mwanaume fulani kanikuta na bikra! Sioni kama ni ishu ya kumake headline hii.
hataki huyo...
kumbe ndio maana jigga kadumu naye!
Kwani kuna wengine wanakuwa sio virgin kabla ya kukutana na boyfriend wa kwanza? Jay Z ni boyfriend wa kwanza kwa Beyonce?