Beyonce Was a Virgin Before Meeting Jay-Z

mmmmmhhhhhh haya, hamna mtu anapenda ambiwa ametoa comment kwa kuwa ana wivu especially kwenye suala kama hilo la bikira,si ishu!!!!

Asante kwa hongera.:biggrin:

anytime dear...
i have noticed kuwa swala la bikira ni sensitive kwa mademu sana! Hii ni kutokana na posts kwenye ile thread iliyosema mwanamke asiye na birika ni malaya na comment yako hasa hapo pekundu. why is that the case?
 
:nono::nono::puke::puke::puke::puke:who lied u, watu walisha kula wakashiba wakanawa wakaondoka, ndio Jay -Z akachukua
alikuta waziiiii
 
Kuna kipi kipya hapo? Kwani kuna mwanamke hajawahi kuwa na bikra? Au kwakua hatutangazi kuwa mwanaume fulani kanikuta na bikra! Sioni kama ni ishu ya kumake headline hii.
 
Wivu wa nini tena?? kila mtu si ana maamuzi yake na mwili wake jamani,hiyo dhana ya kila kitu wivu,itafika sehemu hata mtu unaogopa kutoa opinion kwa kuhofia kuambiwa wivu,si ishu kuwa alikuwa virgin,ingekuwa ishu kama na Jayz naye angekuwa virgin b4 meeting Beyonce....lol...........mimi mwenyewe i was a virgin before meeting my first boyfriend:shut-mouth:

Kwani kuna wengine wanakuwa sio virgin kabla ya kukutana na boyfriend wa kwanza? Jay Z ni boyfriend wa kwanza kwa Beyonce?
 
mmm jamani si baaasi... mtatia husda huyo beyonce... imekuwa kaoja kwani?we jiulize wangapi wanazo sio wangapi wametolewa?? hheeeee:kev::kev:?
Kwani kuna wengine wanakuwa sio virgin kabla ya kukutana na boyfriend wa kwanza? Jay Z ni boyfriend wa kwanza kwa Beyonce?
 
Kwani kuna wengine wanakuwa sio virgin kabla ya kukutana na boyfriend wa kwanza? Jay Z ni boyfriend wa kwanza kwa Beyonce?

Ndo umuulize alosema tuna wivu na Beyonce,sisi wa nini wakati na si tulikuwa/tuko nazo????Hiyo imewekwa kumwambia,hatuwezi kuwa na wivu na hiyo kitu coz wanawake wote tunajaliwa.........:car::car:
 
mwana mayu swala ni kwamba alikutwa bikira na bado yuko nae mpaka sasa wengi wamekutwa na wameachwa. i was virgin before i met my hubby. siyo issue wala nini bora hata ningejitoa mwenyewe, bikira si issue wala nini mtu badae wala hakumbuki kama alikkuta hivyo
Kwani kuna wengine wanakuwa sio virgin kabla ya kukutana na boyfriend wa kwanza? Jay Z ni boyfriend wa kwanza kwa Beyonce?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom