Beware of jamii forum addiction!!

valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,851
869
Ukizoea sana Jamii Forum, unakuwa mtumwa. Kila mara unatamani uwe online
jf.jpg
mpaka chooni ???
391487_503699282976980_1643534000_n.jpg
Kipindi cha mgawo wa umeme hiki,duuuh..
426931_485092741504301_706491114_a.jpg
kuna wanaopost hata wakiwa wagonjwa kitandani
Mwenzenu naumwa, ndo naingizwa OPD

255229_486270228053219_1814429718_a.jpg
Wanafunzi nao wako bize, sijui wanasomaga saa ngapi??
 
Ukizidiwa muone Dr MziziMkavu akusaidie kwa kukupatia kwato za punda kujifukiza uchi kisha kujipaka samli mwili mzima kwa siku saba huku ukilala kwenye mkeka katika siku hizo saba. Ukimaliza dose hii addiction ya JF itakuwa haipo tena :majani7:(nasikia wengine wamewapa watoto wao majina toka jamvi la JF pia :) kwa wanawake jina ambalo liko very popular ni Afrodenzi na kwa Wanaume ni MziziMkavu)

Ukizoea sana Jamii Forum, unakuwa mtumwa. Kila mara unatamani uwe online
View attachment 62339
mpaka chooni ???
View attachment 62340
Kipindi cha mgawo wa umeme hiki,duuuh..
View attachment 62341
kuna wanaopost hata wakiwa wagonjwa kitandani
Mwenzenu naumwa, ndo naingizwa OPD

View attachment 62342
Wanafunzi nao wako bize, sijui wanasomaga saa ngapi??
 
Ukizidiwa muone Dr MziziMkavu akusaidie kwa kukupatia kwato za punda kujifukiza uchi kisha kujipaka samli mwili mzima kwa siku saba huku ukilala kwenye mkeka katika siku hizo saba. Ukimaliza dose hii addiction ya JF itakuwa haipo tena :majani7:(nasikia wengine wamewapa watoto wao majina toka pia :) kwa wanawake jina ambalo liko very popular ni Afrodenzi na kwa Wanaume ni MziziMkavu)

Lol! Tiba za hospitali hii mzuri sana. Nangojea siku ya kuambiwa nikafukize nywele za farasi in Rome, afu nikalale Ngorongoro for a week. Ntachangisha familia, hehehe
 
Hahahahah lol! kwani wee unasumbuliwa na ugonjwa upi? maana magonjwa mengine ukienda huko unaweza kuzidiwa badala ya kupata ahueni :):)
 
Hapahapa syndrome. Hii nahisi tiba yake ndo hiyo aisee. Labda nimalizie na deep tissue massage after a sauna bath.
Zidumu tiba za MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha lol! nimecheka sana aisee Best...Ugonjwa huu mbaya sana inabidi uwe na Dr MziziMkavu 24/7 halafu unaambukiza vibaya sana. Hivyo inabidi utengwe mpaka utakapopata ahueni.

Thanks best, nice song.
weeh chekelea tu, likipita bakuli la matibabu usijikaushe. Ujue linakuhusu kwa hali na mali
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie na weye tena Best!!! Wala huna haja ya kupitisha bakuli nitumie tu hiyo bill :):) mie nitachakarika nayo kivyangu vyangu...Eid el Fitr

Thanks best, nice song.
weeh chekelea tu, likipita bakuli la matibabu usijikaushe. Ujue linakuhusu kwa hali na mali
 
Mie na weye tena Best!!! Wala huna haja ya kupitisha bakuli nitumie tu hiyo bill :):) mie nitachakarika nayo kivyangu vyangu...Eid el Fitr

:flypig:Hivi unajua mie sitaniwi best! Ngoja nilete quotations 3 za sirikali. Dr mwenyewe kasepa bila kuongezea prescription walau ya kasafari ka hot air balloon! Sijui kaanza mgomo:loco:
enjoy ur Eid best. Leo siendi kudoea pilau, napika mwenyewe
 
Hongera zako Best najua jikoni uko fit sana kwa kila mapishi...hivyo pilau itakuwa bomba ile mbaya. Kuhusu quotations usiongeze cha juu tu lol! Dr usiwe na wasiwasi naye atakuponya tu huo ugonjwa mbaya wa hapahapa syndrome.
 
Yaani Nina kazi ya office nimeilaza wiki nzima sababu ya hii ki2. Kesho kazi inatakiwa NA nimekamilisha only 15%. DAMN
 
Hongera zako Best najua jikoni uko fit sana kwa kila mapishi...hivyo pilau itakuwa bomba ile mbaya. Kuhusu quotations usiongeze cha juu tu lol! Dr usiwe na wasiwasi naye atakuponya tu huo ugonjwa mbaya wa hapahapa syndrome.

umejuaje yupo fit jikoni? Watu mpo fasta humu ndani?
Nipeni tricks na mimi nijiopolee angalao@Preta japo najua hajui kupika, labda kichemsha tu.
 
Sikasema jamani anatayarisha pilau badala ya kwenda kudoea? Kwa maoni yangu anayejua kukaangiza pilau lazima atakuwa fit jikoni kwenye mapishi mengi. Mie pia ni mpishi mzuri lakini sijui kukaangiza pilau maana ile process kuanzia 1 mpaka 10 naona ni karaha hivyo wala sitaki kupoteza muda wangu kuzijua hizo process.

umejuaje yupo fit jikoni? Watu mpo fasta humu ndani?
Nipeni tricks na mimi nijiopolee angalao@Preta japo najua hajui kupika, labda kichemsha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom