Bestmovies u ever watched

Duh, kweli kila mtu na ''taste'' yake.

Eyes wide shut?? - sikuipenda kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!ulipenda nudity!?
sio nudity ni theme nzima ya story. Story nzima inendana na ukweli katika mazingira ya jamii tunzoishi.Mimi sipendi sana movie with tooooo much fiction. Au sipendi tooo much shooting scenes sterling anauwa watu 20 yeye hapati hata kovu.

Lakini kama ulivyosema kila mtu ana "taste" yake
 
  1. Avatar
  2. Titanic
  3. Apocalypto
  4. Mrs Doubtfire
  5. Slumdog Millionaire
  6. Coming to America
  7. Sometimes in April
  8. Sarafina
  9. Shark Tale
  10. Alice in Wonderland (Director Tim Burton)
 
These are some of my Best;

Breakdown
Oceans Eleven
The Italian Job
Speed
The Shaw shank Redemption
Sword Fish
Guess Who?
Why did I get married
Ransom
Out of time
Rat race
The Godfather
The usual suspects
Three can play that game
The lost world

Yamakasi
Crank 1&2
Death Proof
Dry Bone
XXX 1&2 (
Anaconda (ice cube)
Saw 1-6
U turn
Snakes in the plane
Hulk
Expendables
Blood diamond
24 Redemption
Chaos
Thick as thieves
Sin city
Traveller
Once upon time in Mexico
Mask of Zoro&Legend of Zoro
Spy Game
Idd Amin of Uganda
You gotta be served
Jenipher(horror)
Ratman(horror)
Walking tall
Raaz(bolly)
Krish(bolly)
Dhoom(bolly)
Crocodile hunter
Bad wolf (horror)
Instinct
The Replicant (van damme)
JCVD (Van damme)
Chocke dee(thai boxix)
 
MY BEST MOVIES (SERIES)
1.the unit
2.24 hrs
3.Prison break
4.Lost
5.CSI
 
if you feel bored and sad...na unataka kucheka "The Naughty professor" search it
 
1,TITANIC(based on true event)
naipenda stori yake na teknolojia ya hali ya juu iliotumika kuifanya ionekane halisi kama meli ilivyozama.

2.FINDING NEMO
kama hujui kama kuna move nzuri za cartoon classic hebu jaribu hii inakisa kizuri sana

3,SAVING PRIVATE RYAN(based on true event)
inaaminika dk 15 za mwanzo wa hii move zimeifanya kuwa the best war film of all time, iangalie ujue ubaya wa vita nini.

4,RATE RACE
Thats ma' best comed film, humo utakutana na mr bean, cuba jr, whoopie nk utacheka balaa.

5,TOTSI
movie ya ki south afrika ni nzuri utadhani imefanyiwa tandale, dogo starling alipata award oscar.

6,APOCALYPTO
Kama unataka kujua kabla dunia haija staarabika watu waliishije, na mashujaa walikuwepo angalia hii.

7,JOHN Q
kama unaamini ukifika tu USA basi ume win life, then angalia hii, unaweza shangaa unamwaga mchozi.

8,GREAT ESCAPE au ESCAPING FROM SABIBOR(both based on true events)
ukitaka jua binadamu ana akili za ziada anapopanwa tazama hizi moves uone Jew walichofanya ktk death camp za hitler

9,DADDY'S LITTLE GIRLS
napenda sana move za tyrle perry, ina love story flani powa na maisha ya kitaa, dem mwanasheria maarufu, man msela tu

10,SHAKIRA
kibongo bongo, nimeipenda angalau ray ka act fukara.

ALIVE(based on based event)
Wachezaji wa rugby wa uruguay walipata ajali ya ndege milima yenye barafu wakakaa siku kama 74, full barafu, unataka kujua walichokula kabla ya kuokolewa, itazame.

Dah zipo nyingi sana nashindwa nitaje ipi niache ipi
 
Hiyo movie ilinipa nightmare. halafu nimeona nikiwa mdogo ,haitoki kichwani.
 
Back
Top Bottom