Bestmovies u ever watched

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,437
Wanajamvi

lets share 10 best movies according to our view tulizotazama ambazo utapendekeza au utapenda great thinkers wote waitafute na kuitazma.

  1. Orphan (2009)
  2. Eyes Wide shut (1999)- Tom cruise na Nicole Kidman . U can guess kuna uhondo gani ndani yake
  3. The notebook (2004). Inaendakwastyle ya simulizi.
  4. Why Did I get married too (2010)- About challenges in relatioship
  5. The illutionist-Mfalme anaoa msichana lakini msicana ana vutiwa na mcheza mazingaombwe .......
  6. Fatal Attraction (1987)-
  7. The apartment(1960) -Jamaa alipata vyeo kazini sababu. gheto lake walikuwa wanatumia maboss ku....... Kasheshe ni pale ........ Althoughni black and white lakini naipenda sababu naona real life ni non fictional.
  8. Training Day (2001)- I like Denzel. Anamzugusha muajiirwa mpya kwenye upolisi.....
  9. Basic Instinct- Ya kipelelezi . Dada anatumia mvuto wake kuwachezea wapelelzi wadhaifu wasifanye kazi zao
  10. A Bronx Tale(1993)- Inaneda kwa style ya simulizi. Some sort of maisha ya mitaa toka mtu uko mdogo mpaka unajua kutongoza au kutongozwa.
NB Sio lazima ziwe latest only share the best to you.

Karibu
 
NoteBook
My Sister's Keeper (2009)
Twilight zote.
Lost
Shawshank redemption
The Reader
A boy in a stripped pajama
 
1. the green mile
2.The familly that prays
3.the shawshank redemption
4.Escape from sobibor
 
The Bone Collector
Time travellers wife
Why Did I get Married?
Let the Right One in.
Mr & Mrs Smith
GodFather
 
Bend it Like Beckham-Msichana wa kihindi alikuwa inspired na Beckham, akavunja miiko kwa kuvaa bukta na kusakata kabumbu
Madea's Family Reunion-A nice African-American drama kwa wanaopenda kucheka.(Tyler Perry)
Meet the Browns-African-American drama(Angela Basseti-Tyler Perry's)
Two can play that Game-Kiboko kwa mainfi.(Vivica Fox)
The Spy Next door-Nice drama, good for laugh 2.(Jack Chan)
The Pursuit of HappYness-Verry touchy movie ya African-American man aliyestruggle kupita kiasi kupata maisha mazuri.(Will &Jaden Smith)
Monster in Law-Mama Mkwe Kisirani (Jeniffer Lopez-Mkwe)
Soul Food-African-American drama
Hotel Rwanda
Troy-(History) Kwa wale wanaoifahamu vita ya Trojans(Brad Pitt)
Maid in Manhattan-Inasikitisha na kufurahisha (Jenifer Lopez)
Our Family wedding-Intermarriage between Mexican and African-American family. Inachekesha sana
 
kaka i love comedy......
death at the funeral...
the other guys...
the president...
johnny english...
.......
 
Hizi movie asili yake ni novels

The notebook
Time traveller's wife
My sister's keeper
 
1. The Wedding Crashers
2. The Fish Called Wanda
3. Match Point
4. The Constant Gardener
5. The Book of Eli
 
-The Good, The Bad & The Ugly
-Fistfull of Dollars
-For a few dollar more
-Die Hard 1,2,3,4
-Matrix 1,2,3
 
Yah ni kweli. Lakini ni among the very best movies

Watu wengi husema novel wameipenda zaidi ya movie lakini zipo movie ambazo zimesemwa kuwa ni better kuliko novels zake kama Lord of the Rings trilogy.
 
Watu wengi husema novel wameipenda zaidi ya movie lakini zipo movie ambazo zimesemwa kuwa ni better kuliko novels zake kama Lord of the Rings trilogy.
Mbona unataja zoote ambazo nimeziona?
 
Wajameni na mie nimeziona nyingi in the past, lakini my best one is: Tanzania 2010 Election: NEC Drama, JK assures CCM of victory at all costs, JK claims Udini na Vidonda vya uchaguzi...Chadema Pms walk out of JK's speech....does anyone one know who was the main actor?
 
Wanajamvi

lets share 10 best movies according to our view tulizotazama ambazo utapendekeza au utapenda great thinkers wote waitafute na kuitazma.

  1. Orphan (2009)
  2. Eyes Wide shut (1999)- Tom cruise na Nicole Kidman . U can guess kuna uhondo gani ndani yake
  3. The notebook (2004). Inaendakwastyle ya simulizi.
  4. Why Did I get married too (2010)- About challenges in relatioship
  5. The illutionist-Mfalme anaoa msichana lakini msicana ana vutiwa na mcheza mazingaombwe .......
  6. Fatal Attraction (1987)-
  7. The apartment(1960) -Jamaa alipata vyeo kazini sababu. gheto lake walikuwa wanatumia maboss ku....... Kasheshe ni pale ........ Althoughni black and white lakini naipenda sababu naona real life ni non fictional.
  8. Training Day (2001)- I like Denzel. Anamzugusha muajiirwa mpya kwenye upolisi.....
  9. Basic Instinct- Ya kipelelezi . Dada anatumia mvuto wake kuwachezea wapelelzi wadhaifu wasifanye kazi zao
  10. A Bronx Tale(1993)- Inaneda kwa style ya simulizi. Some sort of maisha ya mitaa toka mtu uko mdogo mpaka unajua kutongoza au kutongozwa.
NB Sio lazima ziwe latest only share the best to you.

Karibu

The Pastor (?)
Starring....Kanumba
Director....Kanumba
Producer.....Kanumba

Production Company....A Kanumba the Great Movie
 
Shrek
Man on Fire
First 50 Dates
Guess Who
Rush hour 1 and 2
American gangsters
Romeo must die
Sixth sense - Bruce wills
Shaft
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom