Best nasso:mamu wa dar-ujumbe kwa wakina dada

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,638



Verse I
Baada ya kumaliza primary la saba mamu mjini dar
Akapata mchumba mtu wa mwanza mamu akampenda
kwa kua mamu alimpenda sana hivyo akaona vyema nyumbani kusema
Akamwambia mama kwamba mama nimeshapata mchumba,mama akagomba
Akagomba huku akisema life changes,Mwanangu soma ehh life changes
Achana na mabwana eheh life changes,mwanangu soma eh




Chorus
Kusema kweli sikuamini nilivyomkuta mwanza mjini mariamu maa,aibu x2
Aibu kwani amekwisha kabisa hata umbo lake zuri la mvuto lishapoteaa
Ukweli amekwisha kabisa hata umbo lake zuri la mvuto lishapoteaa




Verse II
Baada ya wazazi wake kugoma juu ya swala lake mamu la kuolewa
ikabidi atoroshwe jijini mwanza na mchumba wake,maisha yao mwanza
yalikua mazuri yalikua mazuri tena ya kitajiri................Endelea


Mabinti usikilizeni vizuri huo wimbo mtapa kitu hapo,kazeni buti katika elimu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom