Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
Mkuu sidhani authors wengi uwa wanauza rights za kitabu kizima especially vitabu kama vya Robert Ludlum ambavyo vimefanya vizuri, ninapozungumzia rights ni kuzipa known studios kama Universal na Warner Brothers permission ya kutumia characters na story kwenye movie industry Adaptation.Mkuu think about it.., kabla ya kitabu hakijanunuliwa kubadilishwa into script.., Mtu ananunua Rights za hicho kitabu so he can make the book into a movie (sasa wewe umesema kitabu kinakuwa tofauti sababu ya rights na profit) sasa itakuwaje kinakuwa tofauti sababu ya rights wakati umeshanunua rights na kuhusu profits how is that coming into the equation..., lakini if you think about it a book jinsi kilivyoandikwa ni vigumu kuwa turned into a movie..., (a good movie needs a dialogue..) na kuna vitu ambavyo kwenye kitabu it needs pages to make a character different from a movie...,
Sasa basi utaona kwamba mara nyingi kwenye movie huwa wanachukua main idea lakini script inabadilika kutokana na urahisi wa kuweza kuifanyia acting na wanabadilisha scenes nyingi na kuziwekea dialogue (in short they turn a book into a movie)..., Kwenye kitabu mara nyingi huwa ni idea ya main character and what he is thinking and na mara nyingi dialogues huwa ni chache na ni vigumu kutengeneza movie ambayo you in the mind of the main character (knowing what he is thinking) labda kwenye narrative movies na Scrubs.. na Peep Show..,
Kwahiyo naweza kusema kama wangeweza kutengeneza movie exactly the same as the book wangefanya hivyo na kutokufanya hivyo sio sababu hawana copyright au profit yao itapungua Its just the practicability of the issue
option contracts run about 20 pages, with far too many deal points to cover here. What it boils down to is this: the eventual buyer (the one who exercises the option) wants to acquire all rights, except those specifically exempted or "reserved" to the author by the terms of the agreement.
You typically get to keep book rights; live stage and radio rights; sequel, prequel, and character rights in book and ebook format; and so on. Everything else (movies, tv, merchandising, soundtrack, etc.) belongs to the studio. You might get to keep additional rights if you're already massively successful, or wind up dealing with a very small or very independent company. But when it comes to the studios–to whom many of the small indies sell their movies–it's their way or the highway.