Kuna tofauti kati ya theme song na soundtrack hapa tunajadili nini?
Kuna tofauti kati ya theme song na soundtrack hapa tunajadili nini?
Quincy Jones ni mkali but hamkutii hata kidogo Hans Zimmer, Hans ana mkono mchafu...kila score lazma achukue grammy ya best theme song na yuko kwenye list ya 100 living geniousesTheme song ninayoipenda ni ya Scarface,Composer ninayemuona ni mkali ni Quincy Jones.
Kuna tofauti kati ya theme song na soundtrack hapa tunajadili nini?
wote hamjaonaga sound tracks...aliyetaja gladiator namkubali. Kuna ya pirates of the carribean the curse of the black pearl wimbo unaitwa the medallion calls. Best theme nyingine batman, halafu kuna van helsing the journey to translyvania...if u want to know the best composer tafuteni profiles ya watu wafuatao...
Hans Zimmer ndo aliyecompose pirates of the carribean, gladiator na Lion King plus Inceptions na The Dark Knight
composer mwingine ni Allan Slivestri they are both very competent
Nakubaliana na wewe ila kutokana mapenzi yangu,Qincy jones ananivutia zaidi.Quincy Jones ni mkali but hamkutii hata kidogo Hans Zimmer, Hans ana mkono mchafu...kila score lazma achukue grammy ya best theme song na yuko kwenye list ya 100 living geniouses
Nakubaliana na wewe ila kutokana mapenzi yangu,Qincy jones ananivutia zaidi.
I can relate more with him......I love Sanford and son(sixties/seventies tv show) na theme song ilikuwa composed na Quincy....genius!
Sawa sawa! ila umesahau:Ni kweli kabisa as a Soundtrack waiting to exhale; music zote ni nzuri sana, hata Count on Me, the all music zipo poa...,
kuhusu Godfather yaani kulinganisha na Mtoto wa Al Pacino kufa..., dada yake alivyokuwa anapigwa kaka yake kuuliwa..., and the music is sad makes you feel for the Guy; lakini kuna zile movie themes ambazo ni famous na unique yaani ukisikia tu unajua kwamba hii ni movie fulani
Lakini nadhani timing na theme ya movie na ule wimbo wa Godfather was a Perfect Marriage
- Mission impossible
- MIB
- Beverly Hill Cop
- Police Academy
- ET
- Ghostbusters
- Rocky
- Star Wars
- Desperado
- James Bond
- Chariots of Fire
- The Bad the Good and the Ugly
Ile ni theme song/music.. Soundtrack ni regular songs zinazokuwa zinapigwa wakati movie inaendelea mfano kwenye say Transformers 2 Linkin Park's New Divide ni soundtrack Steve Jablonsky's All The Spark (wakati Optimus Prime amepoteza fahamu) ni theme song.Problem yako hapa Eqlypz you have too much knowledge and thus the difference...lol
Mi nachukulia ile sound ambayo hata nikisikia i know kua hio ni movie fulani.. kama ile
ya The Good, The Bad, The Ugly.. What do i call that??
Umenikumbusha wimbo wa Lisa Gerrard Now We Are Free, huu ulitumika kwenye Man on Fire vile vile.The Gladiator
[video=youtube_share;FgCevpO18t4]http://youtu.be/FgCevpO18t4[/video]
Mkuu mara nyingi movie zilizoko based kwenye vitabu zinakuwa tofauti kidogo na story ya vitabu kwa sababu ya mambo ya rights, profits etc. Mfano ni Bourne Trilogy kwenye kitabu Jason Bourne alimuoa Marie Kreutz ambaye alikuwa Canadian lakini kwenye movie ni tofauti kabisa.Soundtrack nazoona ni nzuri ni;
Harry Potter
Beverly Hills cops
Coming to America
James Bond
Soundtrack ya series ya The Godfather ni nzuri lakini waandaji walichemka mno kwenye ile muvi. Yaani ukisoma novel halafu ungaalia muvi ni utumbo mtupu uliofanyika. Wangeangalia waandaji wa James Bond au muvi nyingine walivyokuwa wanafanya.
Mkuu mara nyingi movie zilizoko based kwenye vitabu zinakuwa tofauti kidogo na story ya vitabu kwa sababu ya mambo ya rights, profits etc. Mfano ni Bourne Trilogy kwenye kitabu Jason Bourne alimuoa Marie Kreutz ambaye alikuwa Canadian lakini kwenye movie ni tofauti kabisa.
Mkuu soma interview ya books into movies jamaa anacover everythingMkuu haziwi tofauti sababu ya mambo ya rights au profits..., Inakuwa tofauti kulingana na what will make a better movie, Mfano Kwenye Bourne Novels it was all about Carlos Yule Terrorist ambapo at that time kulikuwa na myth kwamba alikuwa untouchable; lakini by the time movie inatoka we knew different about Carlos..., alafu kuna vitu unaweza ukavielezea kwa maneno lakini kuonyesha kwa vitendo it impossible au will take ages...
Mkuu soma interview ya books into movies jamaa anacover everything
Books into Movies: Everything You Need to Know Part 2 « Ask the Agent