Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

If you'll say majority of men, i will agree but being too specific to say all men I highly doubt. Though i dont have hard facts to reject your allegations but didn't also support your concern with any strong facts to convince us otherwise
 
Kila siku nawaambiaga watu hii makitu lakini wanabisha. Kuna kautafiti kengine nlikafanyaga nikagundua kuwa kama mwanaume hacheat basi mkewe anacheat. Nawasihi wanaume endeleeni kucheat responsiby ili wake zenu wasiwacheat. Atakayepinga au kuquote hii post lazima atakuwa cheater mzuri. Amina.
 
Wee si uliapa jana huchit na kabakabana wewe?
Imekuwaje tena leo?

Vruuuum(vitu vinarushwa nje)Vrrrruuuummm

Kila siku nawaambiaga watu hii makitu lakini wanabisha. Kuna kautafiti kengine nlikafanyaga nikagundua kuwa kama mwanaume hacheat basi mkewe anacheat. Nawasihi wanaume endeleeni kucheat responsiby ili wake zenu wasiwacheat. Atakayepinga au kuquote hii post lazima atakuwa cheater mzuri. Amina.
 
Mbona sasa picha uliyoweka haiendani na mada? au ulimaanisha wanawake badala ya wanaume? maana hapo kama vile mwanamke ndoo kawachanganya hao jamaa!!
 
amina..nakuunga mkono boss..
 
Cheating ina raha yake na mahali pake, Kama sio mzoefu usijaribu maana nilishawahi kusema sijaoa nikasahau kuwa niko na pete ya ndoa kidoleni
 
Mbona sasa picha uliyoweka haiendani na mada? au ulimaanisha wanawake badala ya wanaume? maana hapo kama vile mwanamke ndoo kawachanganya hao jamaa!!

hata mimi nimeona hii kitu ndo nkawa natafakari...kumbe hata wewe umeonae
 
.....sometimes cheating makes a man more "MAN"...and comes to be judged responsible of his desires.....jus play it carefuly...
 
Mkuu Sio kweli kwamba all Men Cheat.., lakini ukweli ni kwamba ukijiweka kwenye vishawishi au ukiendekeza kwenda maeneo fulani na kujiweka kwenye mazingira hatarishi basi utacheat..

Ila kama ukiepuka vishawishi na kuwa karibu na partner wako.., hautapata muda wala mawazo ya kucheat.., "Idle Hands Are The Devil's Tools", mkuu kama wewe haupo busy, hakuna hobbie ya kuku-keep busy au labda kushare interest na partner au issue zinazokusumbua kichwa (au hobbie za kupass time, reading mazoezi n.k.) Definitely akili yako na mwili wako utakutafutia cha kufanya.

Sisemi kwamba kuna wanaume ambao hawana tamaa,(of course kila binadamu anatamani hata mwanamke pia) ila wapo ambao wanaona its not worth it.., na wanajua ukilamba asali jitayarishe kuchonga mzinga.
 
Usikose kuangalia kipindi cha CHEATERS kila jumatano saa nne na nusu usiku chanel E halafu utasema nani muongo ME au FE?
 
Usikose kuangalia kipindi cha CHEATERS kila jumatano saa nne na nusu usiku chanel E halafu utasema nani muongo ME au FE? Usisahau
 
Usikose kuangalia kipindi cha CHEATERS kila jumatano saa nne na nusu usiku chanel E halafu utasema nani muongo ME au FE?

Cheaters mimi nimeanza kuangalia takriban miaka 10 iliyopita. Episodes zote nilizoziona mimi zina uwiano baina ya wanawake na wanaume wanaocheat!
 
Mkuu Sio kweli kwamba all Men Cheat.., lakini ukweli ni kwamba ukijiweka kwenye vishawishi au ukiendekeza kwenda maeneo fulani na kujiweka kwenye mazingira hatarishi basi utacheat.
....basi most men cheat...
 
Back
Top Bottom