Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

Moja ya kero kubwa iliyopo kwenye utawala huu wa mtukufu magufuli toka chato na chamwino ni kutumia BOT mabenk kuwapora watu pesa zao kwa visingizio vya utakatishaji pesa na endapo mwenye pesa anathubutu kupiga kelele anapewa kesi ya uhujumu uchumi ni uonevu unyanyasaji ulioje...
Kwa kweli inaumiza sana
 
Kwanini hawajakufuntgia na wewe yako? Uongo mwingine punguzeni! Membe a7natkangaza kurudi nyumbani kauwasoma wapinzani hawajawa na nia ya kuchukua nchinchihfkekokahk.rg7g
 
Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar...
Ramli chonganishi
 
Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar...
Huenda aka rudi nyumbani ili account zake zifunguliwe. Maana kwa sasa anaishi kwa kugongea
 
Siku 9 zilizobaki ni nyingi sana kwenye kampeni za siasa
😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar..
Mkuu saa nne ndio hio!! tunasubiri mrejesho!!
 
Kwann hawajakufuntgia na wewe yako? Uongo mwingine punguzeni! Membe a7natkangaza kurudi nyumbani kauwasoma wapinzani hawajawa na nia ya kuchukua nchinchihfkekokahk.rg7g
Bado unavuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba?
 
Bora Membe alishtuka mapema maana Zitto na wenzie wangemmalizia tu pesa zake nyingi alizopiga enzi zile yeye na Kikwete wanaitafuna Nchi

Zitto alikuwa anajua Membe hana lolote kwenye medani za siasa
 
Bado tu hajaongea? CCM haibabaishwi mwambieni. Angebaki huko atulie tu maana kila mmoja anamuogopa. Kachero huwa haasi akaachwa salama. Kama yuko salama yuko kazini.
 
Back
Top Bottom