Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

Membe ana hali ngumu mno kwani wamefunga A/c zake na A/c za watu wote wanaowaona wakiwasiliana nae hata kama siyo wanasiasa , hana pesa kabsa wamemfirisi, pengine ataongelea hilo au anataka kurejea CCM ili wamrejeshee prsa zake
Apambane Lissu awe rais mambo yake yakae vizuri

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Membe kaamua kuhamisha pesa zake zote toka Dubai canada kwenda kenya na Uganda kusiko na usumbufu wa pesa kuingia kutoka , akitaka pesa anapanda boti ziwa Victoria hadi Entebe Uganda anachukua pesa Bank anapanda boti anarudi mwanza na kwenda Dsm, maisha ni magumu A/C zake zote za DSM wamezifunga
 
Moja ya kero kubwa iliyopo kwenye utawala huu wa mtukufu Magufuli toka Chato na Chamwino ni kutumia BOT mabenk kuwapora watu pesa zao kwa visingizio vya utakatishaji pesa na endapo mwenye pesa anathubutu kupiga kelele anapewa kesi ya uhujumu uchumi ni uonevu unyanyasaji ulioje, wanafunga A/C hovyo hovyo tu ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa wanaichukia CCM kuliko hata nyoka cobra, watu hawapo huru na pesa zao.

Na kibaya wakichukua pesa zao zinaenda kupigwa na wajanja wachache ni ufisadi mpya haramu wa kishetani zaidi na ndiyo imepelekea utawala huu kupata chuki kubwa toka kwa wananchi kwani tajiri akiathirika na wale wafanyakazi aliowaajiri huathirika zaidi na kuzidi kuongeza idadi ya watu wasio na ajila
 
Utawala huu hasa kipindi hiki cha kampeni ukionekana umewasiliana wa wapinzani wanaenda kufunga A/C zako Yaani hata kama mpinzani ni baba yako hawataki uwasiliane nae, hata makaburu wa Africa kusini hawakuwaga hivyo, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi?
 
Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar...
Ni jambo jema!
 
Membe ana hali ngumu mno kwani wamefunga A/c zake na A/c za watu wote wanaowaona wakiwasiliana nae hata kama siyo wanasiasa , hana pesa kabsa wamemfirisi, pengine ataongelea hilo au anataka kurejea CCM ili wamrejeshee prsa zake
Membe kaamua kuhamisha pesa zake zote toka Dubai canada kwenda kenya na Uganda kusiko na usumbufu wa pesa kuingia kutoka , akitaka pesa anapanda boti ziwa Victoria hadi Entebe Uganda anachukua pesa Bank anapanda boti anarudi mwanza na kwenda Dsm, maisha ni magumu A/C zake zote za DSM wamezifunga
Hebu jisome mwenyewe vizuri hapo uone kama utajielewa.
 
Amuunge mkono Lissu tu, uamuzi wowote tofauti na huo ndio atakuwa amejivunjia heshima yake kabisa, matokeo yake CCM hataaminika na upinzani pia hataminika.
 
Yeye alipuke tu rakni kisiasa anajimaliza kabisa maana rekodi tunazidi kuzitunza
 
Membe ndio nani ? duh muda unaenda spidi kweli tulishamsahau jasusi mbobezi, hakika atakuwa amemaliza kupiga kampeni, maana yeye kampeni anaipiga nyuma ya pazia, tutarajie kupata ratiba ya tafrija itakoyofanyika pale Hyatt Regency jioni baada ya ushindi :D
Pesa zake zote zilizopo Tz wameziminya hana pa kupitia mpaka atoke nje kuchukua pesa na itabidi apite njia za vichochoroni kwani Airport watazichukua zote
 
Membe kaamua kuhamisha pesa zake zote toka Dubai canada kwenda kenya na Uganda kusiko na usumbufu wa pesa kuingia kutoka , akitaka pesa anapanda boti ziwa Victoria hadi Entebe Uganda anachukua pesa Bank anapanda boti anarudi mwanza na kwenda Dsm, maisha ni magumu A/C zake zote za DSM wamezifunga
aiseeehh asante Mkuu kwa news...
 
Back
Top Bottom