wanapewa ruzuku toka nchi za kiislam..iran, saudi arabia, kuwait dubai, syria, lybia, iraq, etc in returns for ....... ndo maana tunataka na sisi tujiunge na IOC.
I really dont see what you want to prove.
hivyo hidden interest inakubalika maadam isiwe open interest. unaruhusiwa kuzini mradi umefanya siri, sio kwa vile kuzini ni dhambi hata kama kwenye usiri wa hali ya juu
wanapewa ruzuku toka nchi za kiislam..iran, saudi arabia, kuwait dubai, syria, lybia, iraq, etc in returns for ....... ndo maana tunataka na sisi tujiunge na IOC.
kwamba islamic banking inaweka mkataba na mkopaji kuwa akipata faida alete kiasi fulani, sio benki yenyewe kukata hela yenyewe kama zinavyofanya bank zingine. Mkopaji alete, je hiyo sio kutoza riba? Nataka ku-prove kuwa na hiyo ni riba, hivyo bank inatoza riba.
crdb wangekuja na mfumo kama huu ingekuwa safi sana
Mkuu hapa wanajaribu kumficha mwanadamu lakini mungu anajua kila kitu!!siku ya mwisho wataambiwa watofautishe kati ya "hidden interest na conventional interest"
Mojawapo ya njia inayotumika ni kuingia ubia (Partnership) na mtu ambaye anakopeshwa fedha,ambapo watakuwa wanagawana faida na hasara!kwa hiyo kama ikitokea faida hii inakuwa ni mojawapo ya chanzo cha kujipatia fedha kwa banki.
Nakala:RITZ,ALLY KOMBO
Muulizaji hajajibiwa nadhani wanaojua vzr ili sote tuelimike waje
ni riba ileile kupitia mlango mwingine
Chukua hii aya ili ikuweke sawa:
... Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharamisha riba. Qur'an:2:275
" Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba na huzibariki sadaka. Qur'an:2:276
Naona contradiction tu hapo. Biashara ni kama riba!
Hiyo faida ya biashara ktk lugha za Mabenki maana yake ni riba, sasa unakataa nini, na unakubali nini? Biashara yoyote ya kuuza hela, faida anayopata muuzaji inaitwa riba.
nikikukopesha 20000/= nikakutaka unilipe 20500/= hiyo 500/= ndio riba. Nikikutaka unilipe 20000/= ile ile, halafu kwa hiyari yako mwenyewe ukanipa 500/= hiyo sio riba!
ni bora ungepita silently kuliko kubwabwaja uharo kama huu!