wanapewa ruzuku toka nchi za kiislam..iran, saudi arabia, kuwait dubai, syria, lybia, iraq, etc in returns for ....... ndo maana tunataka na sisi tujiunge na IOC.
Hakuna ushahidi wa unayosema hayo,mimi naishi katika moja ya nchi ulizotaja hapo,hata hapa kwao hakuna hizo benki zinazoendeshwa kwa sheria za kiislam,benki za nchi za kiarab ndio zinaongoza kukandamiza raia wao kuliko chochote,zinatoza riba kubwa mno,hapo ni saudia na iran tu ndio wanazo hizo benki za kiislam,
| This section may require cleanup to meet Wikipedia's quality standards. No cleanup reason has been specified. Please help improve this section if you can. (February 2010) |
Kinachofanyika ni kuingia ubia (Partnership) na mtu ambaye anakopeshwa fedha,ambapo watakuwa wanagawana faida na hasara!kwa hiyo kama ikitokea faida hii inakuwa ni mojawapo ya chanzo cha kujipatia fedha kwa banki.
Nakala:RITZ,ALLY KOMBO
Nimesikia benki ya Waislamu ya Amana inatoa mikopo bila riba,sasa faida wanapataje?fedha za kuendesha benki wanazitoa wapi,hii system ya benki inayofuata sharia inafanyaje kazi?,ukichukua mkopo uarudisha kama ulivyokopa?.Kuuliza sio ujinga
Sasa hiyo sio riba, badala ya kuchuka wao wenyewe unaileta wewe! Janja ya nyani tu
Hii kitaalamu tunaita hidden interest!!
Hivyo hidden interest inakubalika maadam isiwe open interest. Unaruhusiwa kuzini mradi umefanya siri, sio kwa vile kuzini ni dhambi hata kama kwenye usiri wa hali ya juu
Hivyo hidden interest inakubalika maadam isiwe open interest. Unaruhusiwa kuzini mradi umefanya siri, sio kwa vile kuzini ni dhambi hata kama kwenye usiri wa hali ya juu