Benki ya Kiislamu inapataje faida?

wanapewa ruzuku toka nchi za kiislam..iran, saudi arabia, kuwait dubai, syria, lybia, iraq, etc in returns for ....... ndo maana tunataka na sisi tujiunge na IOC.

usipotoshe mdau kama hujui nyamaza,,,,islamic banking is a system,
nenda kasome Ijara,murabah,musharakah,
na kuna kozi ya islamic banking and finance ipo zanzibar university Dar es salaam campus
 
I really dont see what you want to prove.

Kwamba islamic banking inaweka mkataba na mkopaji kuwa akipata faida alete kiasi fulani, sio benki yenyewe kukata hela yenyewe kama zinavyofanya bank zingine. mkopaji alete, Je hiyo sio kutoza riba? Nataka ku-prove kuwa na hiyo ni riba, hivyo bank inatoza riba.
 
hivyo hidden interest inakubalika maadam isiwe open interest. unaruhusiwa kuzini mradi umefanya siri, sio kwa vile kuzini ni dhambi hata kama kwenye usiri wa hali ya juu

ni bora ungepita silently kuliko kubwabwaja uharo kama huu!
 
wanapewa ruzuku toka nchi za kiislam..iran, saudi arabia, kuwait dubai, syria, lybia, iraq, etc in returns for ....... ndo maana tunataka na sisi tujiunge na IOC.

Sidhani kama kunaudhamini katika bank hiii
 
kwamba islamic banking inaweka mkataba na mkopaji kuwa akipata faida alete kiasi fulani, sio benki yenyewe kukata hela yenyewe kama zinavyofanya bank zingine. Mkopaji alete, je hiyo sio kutoza riba? Nataka ku-prove kuwa na hiyo ni riba, hivyo bank inatoza riba.

nikikukopesha 20000/= nikakutaka unilipe 20500/= hiyo 500/= ndio riba. Nikikutaka unilipe 20000/= ile ile, halafu kwa hiyari yako mwenyewe ukanipa 500/= hiyo sio riba!
 
Mkuu hapa wanajaribu kumficha mwanadamu lakini mungu anajua kila kitu!!siku ya mwisho wataambiwa watofautishe kati ya "hidden interest na conventional interest"

Hii ni sawa tunavyoambiwa kipofu ni mlemavu wa macho na zeruzeru (albino) ni mlemavu wa ngozi wakati hapo yote ni sawa
 
Mojawapo ya njia inayotumika ni kuingia ubia (Partnership) na mtu ambaye anakopeshwa fedha,ambapo watakuwa wanagawana faida na hasara!kwa hiyo kama ikitokea faida hii inakuwa ni mojawapo ya chanzo cha kujipatia fedha kwa banki.
Nakala:RITZ,ALLY KOMBO

Nimeipata nakala yako ! Naam Mwenyezi Mungu anasema ukila riba unapigana nae vita ! Sasa jiulize una ubavu wa kupigana vita na Mungu ?
Iweje Bank makubwa yanafilisika wakati wanapata riba yao ?!
 
ni riba ileile kupitia mlango mwingine


Chukua hii aya ili ikuweke sawa:
"Wale walao riba hawasimami ila kama anavyo simama aliye zugwa na shetani kwa kumgusa. Hayo ni kwakuwa wamesema; Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharamisha riba. Qur'an:2:275
" Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba na huzibariki sadaka. Qur'an:2:276
 
Chukua hii aya ili ikuweke sawa:
... Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharamisha riba. Qur'an:2:275
" Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba na huzibariki sadaka. Qur'an:2:276

Naona contradiction tu hapo. Biashara ni kama riba!
Hiyo faida ya biashara ktk lugha za Mabenki maana yake ni riba, sasa unakataa nini, na unakubali nini? Biashara yoyote ya kuuza hela, faida anayopata muuzaji inaitwa riba.
 
Naona contradiction tu hapo. Biashara ni kama riba!
Hiyo faida ya biashara ktk lugha za Mabenki maana yake ni riba, sasa unakataa nini, na unakubali nini? Biashara yoyote ya kuuza hela, faida anayopata muuzaji inaitwa riba.

Umeikata aya kwa faida yako ! Aya haiko hivyo ulivyo ichukua. Na umefanya hivyo ili upotoshe.
Mwenyezi Mungu anasema mla riba amesimama kwa nguvu za Shetani kwani mla riba anadai Biashara haiendi bila riba !
Mwenyezi Mungu amebariki Biashara na ameharamisha riba ! Wacha upotoshaji !
 
nikikukopesha 20000/= nikakutaka unilipe 20500/= hiyo 500/= ndio riba. Nikikutaka unilipe 20000/= ile ile, halafu kwa hiyari yako mwenyewe ukanipa 500/= hiyo sio riba!

Ulileta mwenyewe kweli hiyo siyo riba. BUT is this practical. labda kwa wenzetu waarabu, hapa Africa South of sahara, I doubt! Naomba nikuuilze na si kwa mabishano: Mtume (SAW) alikuwa mfanya biashara (biashara means mtaji + riba/faida) sasa kwa nini waislamu wanakataa riba wakati mtume(SAW) alifanya hivyo. nadhani if it were me, ni kutotaka riba ya kuumiza wenzako au wasemaje!
 
Back
Top Bottom