Benki kuu ya Ulaya yafuata mfumo wa Benki za Kiislam

What is riba na nini profit?

Ulipoeleza kwa uzuri asili ya riba (#16) katika post yako nilidhani umnaelewa vizuri tofauti kati ya RIBA na FAIDA. Hivi vitu ni tofauti kabisa japo kuwa yote yana ongezeko fulani kama ulivyoeleza katika post #16.

Kifupi maana ya Riba ni kama ifuatayo:

The interest rate is the price charged by a lender to a borrower in order for the borrower to obtain a loan. This is usually expressed as a percentage of the total amount loaned.

Na faida maana yake ni:

Profit is a financial benefit that is realized when the amount of revenue gained from a business activity exceeds the expenses, costs and taxes needed to sustain the activity. Any profit that is gained goes to the businesse's owners, who may or may not decide to spend it on the business.

Tofauti kubwa kati ya riba na Faida ni kwamba katika Riba Mkopeshaji ana nguvu kubwa mno ya kuamua ni Riba kiasi gani atoze bila kwa njia ya moja kwa moja au indirect kumshirikisha mkopaji. Kinyume na Faida ambayo ushindani wa soko ndio unaompa nguvu mnunuaji zaidi kuliko mmiliki wa biashara.

Kwa vile uanzishaji wa Mabenki (hasa ULAYA) si rahisi kama kufungua kampuni ya kuuza chakula, imefanya biashara ya Mabenki kuwa ina Monopoly zaidi na kutokuwa na ushindani kama utavyoweza kufikiria. Haya mabenki yanakaa pamoja na kuamua Riba kwa mkopaji na mkopaji anachotakiwa ni kukubali tu kama sisi tunavyokubali kwa IMF.

Museveni alitaka kufungua Benki Uingereza na nchi nyingi za Ulaya, lakini alikataliwa kwa vile walielewa jinsi wao wanavyocheza michezo. Nchi nyingi za Ulaya zina wastani wa Mabenki tofauti 6 licha ya ukubwa wa uchumi wao. Kwa hiyo wananchi hawana uchaguzi mwingi kama katika biashara za kununua nguo. Hata Prof Lipumba aliwahi kuzungumzia ukuaji wa mabenki holela Tanzania jinsi yanavyoathiri uchumi wa nchi kwa kukosa kontrol. Kwa maneno rahisi ni kwamba ili biashara ya Benki iwe mathubuti ni lazima kuwe na aina fulani ya Monopoly hasa katika uanzishaji wa mabenki.

Kwa hiyo tofauti kubwa ni nguvu au kushirikishwa kwa mhusika (mnunuzi/mkopaji) katika kupunguza FAIDA/RIBA, ambayo ndiyo sehemu kubwa ya kupunguza mzigo kwa mhusika. Nimejitahidi kueleza kifupi sana, lakini ili ieleweke kiundani zaidi inahitaji maelezo mengi sana. Hata hivyo ninaimani kuwa wasomaji wataelewa tofauti za maneno haya mawili ambayo tupo nayo katika maisha yetu ya kila siku.
 
Why does a lender charge someone an interest on a loan? Why not just giving him the money and ask him to return the same amount afterwards? Mkuu naifahamu vizuri nini interest na nini profit? Nakuuliza wewe maswali haya ili nijue tatizo lako liko wapi. Tunaelimishana nothing else naomba nifafanulie maswali hayo juu.
 
Source? Let me guess..ni wewe menyewe..(What else is NEW??)
Halafu skujua kwamba kumbe benki za kisilamu zinatoza riba ya 1.25%
riba kwa Muislaam ni dhambi, sasa usilete 'harusi ya mbwa' ili ujifurahishe. Na kufanya biashara kwa maadili ya kiislaam ni ibada !
 
Why does a lender charge someone an interest on a loan? Why not just giving him the money and ask him to return the same amount afterwards? Mkuu naifahamu vizuri nini interest na nini profit? Nakuuliza wewe maswali haya ili nijue tatizo lako liko wapi. Tunaelimishana nothing else naomba nifafanulie maswali hayo juu.

Mkuu nakushauri usome kitabu sheikh. Imran Hosein "Interest free economy" kimo google online

Anaelezea vizuri dhana ya riba, profit as per islamic sharia
 
What if interest wakipunguza na kuwa sawa na faida anayoipata mtu mkishare profit je riba itakuwa na ubaya? Na kwanini duniani kuna wengine wana shida ya mtaji na wengine wanakuwa na uwezo wa kuwapa watu wengine mtaji?

Riba haijalishi aliyekopa kapata faida au hasara, riba ipo pale pale na kuna zingine huwa zinazidi kuongezeka. Faida inamaanisha mnaingia ubia na huyo mkopeshaji na ikiwa faida kubwa ni wote ikiwa hasara ni wote na si jukumu la pande moja.
 
kitu nlichogundua ni kwamba wachangiaji wengi wamechangia pasipo kujua jinsi uchumi na mzunguko wa pesa vinavyo fanya kazi.
Na log off
 
Back
Top Bottom