Bendera ya taifa Tanzania

Status
Not open for further replies.

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
577
Source: Kibonzo gazetini leo (modified)

Mwalimu: Wanafunzi, rangi za BENDERA ya Taifa la Tanzania ziko ngapi?
Mwanafunzi: Nne!

Mwalimu: Zitaje.
Mwanafunzi: Kijani, Bluu, Njano na Nyeusi

Mwalimu: Rangi hizo zina maana gani?
Mwanafunzi1: Kijani ni ccm.. hapana, ni Kilimo

Mwalimu: Mwingine?
Mwanafunzi 2: Njano ni TLP.... hapana, ni Mali asili

Mwalimu: Enhee, mwingine?
mwanafunzi: Bluu Chadema, hapana ni maji ya maziwa, mito na bahari

Mwalimu: Iliyobakia?
Mwanafunzi: Nyeusi ni TANESCO, apana, ni GIZA.
 
nyeusi ni TANESCO, hapana ni Giza, huyo dogo mtumeni kwangu nimzawadie pipi.
 
282675_1867962104427_1402313836_31654578_700156_n.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom