Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Inaonyesha kuna mkono wa China kwenye zile nguo walivaa ,ukiwatazama waChina mashati yale ya manjano wameyavaa kwa ndani na wengine waliokuwepo mbele wameyavaa kama wenzetu wa Tanzania.Kumbe Zanzibar wamewavuta wachezaji wao nje ya Olympic baada ya kutotambuliwa.Ndani ya Timu ya Tanzania hakuna Mzanzibari hata mmoja ,ndio nikaona kuwa hata sasa Tanganyika wameamua kujiondoa kwenye Tanzania.