The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,394
- 12,978
Hivi Tanzania tulishawahi kupata medali ya dhahabu katika olympics. Nauliza kwa kuwa sikumbuki lusikia tumepata medali ya dahabu. Akina Bayi na Nyambui nafikiri waliishia fedha na shaba tu ingawa walishinda dhahabu kwenye Commonwhealth na IAAA.