Kiumbe duni
Senior Member
- Dec 3, 2011
- 100
- 8
Mimi ni mmoja wa wapenzi wa ze laga, jana nikaingia bar tofauti kama tatu hivi ambazo nimezoea kunywa bia kwa bei ya 1500/: lkn nikaambiwa zimepanda na sasa ni tsh 1700/: je ni kweli au wafanyabiashara wamesikia tetesi za kupanda bei wakaamua kupandisha? Mwenye taarifa kamili naomba atujulishe.