Bei za bia Arusha na Moshi

Kiumbe duni

Senior Member
Dec 3, 2011
100
8
Mimi ni mmoja wa wapenzi wa ze laga, jana nikaingia bar tofauti kama tatu hivi ambazo nimezoea kunywa bia kwa bei ya 1500/: lkn nikaambiwa zimepanda na sasa ni tsh 1700/: je ni kweli au wafanyabiashara wamesikia tetesi za kupanda bei wakaamua kupandisha? Mwenye taarifa kamili naomba atujulishe.
 
Wana jf hivi bia zimepanda bei!? Im shocked bse kuanzia juzi bei za bia kwnye haya maeneo ni Tsh. 1800 per bottle kwenye bar mbalimbali.,..xo i was wondering mbona zinapanda bila taarifa na vipi maeneo mengine??
 
Kreti bei ya jumla kuanzia j3 ni sh 28000 toka sh 24000 maji pia uhai bei imeongezeka kwa sh 500 katoni.ngeleja huyo
 
Nyie mnafikiri mizengo kayanza PINDA chizi??
Alipokuwa anapiga kitu cha ze komon a.k.a mataputapu watu walimdesa.

Lakin A-town na moshi hata zikipanda hakuna ubaya dadii na mbege zipo kwa wale wenzangu wa viroba,banana na pure(gongo) ni mwendo mdundo tu kwa kwenda mbele.
 
Wana jf hivi bia zimepanda bei!? Im shocked bse kuanzia juzi bei za bia kwnye haya maeneo ni Tsh. 1800 per bottle kwenye bar mbalimbali.,..xo i was wondering mbona zinapanda bila taarifa na vipi maeneo mengine??
acheni kulalama bia sio bidhaa muhimu kwa maisha ya mtanzani, kwa hiyo hata ikiuzwa elfu nne ni sawa tu
 
Wana jf hivi bia zimepanda bei!? Im shocked bse kuanzia juzi bei za bia kwnye haya maeneo ni Tsh. 1800 per bottle kwenye bar mbalimbali.,..xo i was wondering mbona zinapanda bila taarifa na vipi maeneo mengine??

Anza kunywa soda, kwani ni lazma unywe bia? ulevi ni noma!
 
Wana jf hivi bia zimepanda bei!? Im shocked bse kuanzia juzi bei za bia kwnye haya maeneo ni Tsh. 1800 per bottle kwenye bar mbalimbali.,..xo i was wondering mbona zinapanda bila taarifa na vipi maeneo mengine??

hata mimi jana nimenunua bia tsh 1700 huku dar ....so its true bia zimepanda kimya kimya.
 
Yaani nimekunya bia mbili naagiza ya tatu naambiwa zimepanda bei!Arusha bana!
 
Hata wapandishe poa tu mi ntakuwa nazama zangu kwa moromboo kule za asili nyingi
 
hapa n choz la simba 2 huku tukuyu bei chee ka maj ya kunywa iringa ulanzi komon hakamatwi m2 hakuna pombe tamu ka ulanz n natural wine. Uki2mia huna haja ya pweza wala viagra.
 
Back
Top Bottom