Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei za suti kwa Sheria Ngowi, anaanzia $1700 USD, ila kwa kibongo bongo unaruhusiwa kumshusha kidogo hadi 3,000,000 Tsh. Hapo ni kwa 1pc, hiyo ni bei ya mwezi wa 7 mwaka huu tuliweka order ya 2pc, kwaajili ya harusi amabayo tayari imeshafanyika mwishoni mwa mwezi August.
Anashonea Manhattan nini!?
USD! USD! Hawa ndo wanatafutwa na Benki Kuu kwa kuishusha thamani Tsh!
Asante kwa taarifa Mkuu!
 
Boss kumbe level yako iko juu $700 ni kujishusha hadhi. Hongera.
Hilo swali ungemuuliza huyo aliyekuwa analeta mbwembwe kiasi cha kukashifu wenzie kana kwamba anavaa suti za Mil 5 na kuendelea kumbe vice versa kumbe naye ni walewale sababu hana tofauti na anayenunua suti kila mwezi kwa laki 2 hadi 3 huku yeye mpaka asubiri miaka 2-7 kama anavyofanya kwenye viatu ambavyo anakaa navyo hadi miaka 7
 
Umewahi jiuliza italian suits...turkey... UK na kwingine duniani kwa watengenezaji wa kueleweka kwanini suit zao hawakupimi we unachagua size tu na suti inatulia mwilini? Umeshawahi ona mtu suit ya dukani toka europe imemkaa vibaya? Sasa hao akina Sheria Ngowi japo wanakupima bado inakua hovyo kabisa na hizo za kununua kabisa bila kupima ndo kabisaaa!!

Kwa ufupi kwa hela hiyo heri uvae suit za maana toka ulaya!!
Napenda saana suit za Gurdiola sijui huwa ni campun gani inamvalisha
 
Bei za suti kwa Sheria Ngowi, anaanzia $1700 USD, ila kwa kibongo bongo unaruhusiwa kumshusha kidogo hadi 3,000,000 Tsh. Hapo ni kwa 1pc, hiyo ni bei ya mwezi wa 7 mwaka huu tuliweka order ya 2pc, kwaajili ya harusi amabayo tayari imeshafanyika mwishoni mwa mwezi August.
bei Ya Gari kabisa Hii
 
Njoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
Kariakoo duka gani mkuu
 
Hilo swali ungemuuliza huyo aliyekuwa analeta mbwembwe kiasi cha kukashifu wenzie kana kwamba anavaa suti za Mil 5 na kuendelea kumbe vice versa kumbe naye ni walewale sababu hana tofauti na anayenunua suti kila mwezi kwa laki 2 hadi 3 huku yeye mpaka asubiri miaka 2-7 kama anavyofanya kwenye viatu ambavyo anakaa navyo hadi miaka 7
Tofauti ipo mkuu. Kununua kitu cha kiwango cha chini mara kwa mara si sawa na kununua kitu bora kwa muda mrefu. Unless unataka tu kujiridhisha nina suti 50. Btw idadi ya suti inategemea na shughuli zako. Mimi navaa suti kwenye mialiko tu kama harusi nk hivyo kabatini kwangu nina suti 5 tu.
 
Basi wewe si Mvaaji wa Suti ila unavaa kwa shughuli maalum..ingekuwa kila mtu anajivunia kitu kukaa muda mrefu kwa kukiweka kwenye kabati lake leo hii wewe usingejua kitu kinaitwa "Mitumba" kwa hiyo anaenunua kila mwezi si mtu wa mchezo kuliko anayeweka nunua mwaka hadi mwaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom